Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

View attachment 1662481 kweli nimekuta maBus ya Golden sasa enzi hizo mabasi ya Ngorika, Lang'ata usiombe Bumper to Bumper na taa kibaoView attachment 1662482
Mbona hizi ni ndogo kwa enzi hizo[emoji23]
Yaan unakuta hayo machuma mzee baba kama pembe la ng'ombe. Au jini linasaka damu muda wowote. Unasikia dereva anakuambia we njoo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nenda ukipate.
 
View attachment 1662481 kweli nimekuta maBus ya Golden sasa enzi hizo mabasi ya Ngorika, Lang'ata usiombe Bumper to Bumper na taa kibaoView attachment 1662482
Golden Dragon hizo ngao zao ni ndogo Ila pembeni zimechomoza kidogo.
Sasa mchina kwenye basi za Asia Star kaweka ngao kubwa grill yote ya mbele ya basi mfano wa Basi hizo ni Imani Express na Isamilo.
 
Pole sana...mimi huyu dereva wa basi aliamua tu kunikomoa...ninakaribia kumpita ili nilipite lifuso la mbele, jamaa naye akahama lane ili alipiye lile fuso....sikuwa na namna zaidi ya kutafuta lane nyingime ambayo ni majani huko nje ya barabara..
Wakati mwingine unaweza ukampigia honi unaemu-overtake kumjulisha kwamba ushatoka kwahiyo aache ujinga anaofikiria kuufanya.

Nimeshajaribu kuna wakati inasaidia.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Aisee!
 
Mrejesho...
Kimeo hakikuniangusha...[emoji120]
Na Jana nimerudi Arusha.kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa taifa..
Changamoto pekee Ni Tsh.20,000 ya kiwi baada ya kusimamishwa mara 3 wakati wa kurudi..

"Be Humble"
Kwanini unaita gari yako kimeo? Usiishushe thamani kiasi hicho.....

Niliitaga Simu niliyopewa na baba kimeo, nilimwambia mdogo wangu niwekee kimeo changu chaji. Baba akanisikia kilichofuata hapo ilikuwa ni risala fupi, from there naheshimu kila ninachokimiliki no matter kina hali gani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…