miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ha ha ha labda hivyo. Ila anisikilize mama yakeNitakupa mmoja nnao wa kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha labda hivyo. Ila anisikilize mama yakeNitakupa mmoja nnao wa kutosha
Nashukuru Mungu hawapo kama mama yao[emoji23][emoji23]Ha ha ha labda hivyo. Ila anisikilize mama yake
Naskia ameagiza yutong aisee. Maybe umri nao changamoto aisee. Nadhan watoto pia labda usimamizi imekua changamoto. Hii boashara ona stress sana. Aheshimiwe tuu lakini. Dar ex press si yuko toka miaka ya 70?Hivi Dar expresa kapatwa na nini Jamani?
Mbona hizi ni ndogo kwa enzi hizo[emoji23]View attachment 1662481 kweli nimekuta maBus ya Golden sasa enzi hizo mabasi ya Ngorika, Lang'ata usiombe Bumper to Bumper na taa kibaoView attachment 1662482
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni wakiwa kama maama yao ndo fresh?Nashukuru Mungu hawapo kama mama yao[emoji23][emoji23]
Golden Dragon hizo ngao zao ni ndogo Ila pembeni zimechomoza kidogo.View attachment 1662481 kweli nimekuta maBus ya Golden sasa enzi hizo mabasi ya Ngorika, Lang'ata usiombe Bumper to Bumper na taa kibaoView attachment 1662482
Kwenye basi hazijaruhusiwa, maana zingeruhusiwa saizi basi za kuchongwa hapa hapa zingewekewa ngao kama za kwenye Maroli ya International au Argosy.Yes. Walikataza. Sijawahi sikia wameruhusu tena mkuu
Wakati mwingine unaweza ukampigia honi unaemu-overtake kumjulisha kwamba ushatoka kwahiyo aache ujinga anaofikiria kuufanya.Pole sana...mimi huyu dereva wa basi aliamua tu kunikomoa...ninakaribia kumpita ili nilipite lifuso la mbele, jamaa naye akahama lane ili alipiye lile fuso....sikuwa na namna zaidi ya kutafuta lane nyingime ambayo ni majani huko nje ya barabara..
Bata nililoona Arusha na Kili kama vyuma vimekaza vikiachia sijui itakuwaje!Magufuli kabana sana [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1662632
Aisee!Mbona hizi ni ndogo kwa enzi hizo[emoji23]
Yaan unakuta hayo machuma mzee baba kama pembe la ng'ombe. Au jini linasaka damu muda wowote. Unasikia dereva anakuambia we njoo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nenda ukipate.
Kwanini unaita gari yako kimeo? Usiishushe thamani kiasi hicho.....Mrejesho...
Kimeo hakikuniangusha...[emoji120]
Na Jana nimerudi Arusha.kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa taifa..
Changamoto pekee Ni Tsh.20,000 ya kiwi baada ya kusimamishwa mara 3 wakati wa kurudi..
"Be Humble"
Karibu tena...Bata nililoona Arusha na Kili kama vyuma vimekaza vikiachia sijui itakuwaje!
Kuna mpemba huku kaanzisha thread kuponda iko overated hukoBata nililoona Arusha na Kili kama vyuma vimekaza vikiachia sijui itakuwaje!
Na ni busara pia.Kwanini unaita gari yako kimeo? Usiishushe thamani kiasi hicho.....
Niliitaga Simu niliyopewa na baba kimeo, nilimwambia mdogo wangu niwekee kimeo changu chaji. Baba akanisikia kilichofuata hapo ilikuwa ni risala fupi from there naheshimu kila ninachokimiliki no matter kina hali gani...
Hata me muda muda kiasi nilikuwa naliona kama PRONDO. 😀