Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Ni rahisi kutembea na mzungu 220kmh kuliko mjapan 180kmh.. ๐๐๐Hizi za chini chini zinjitahidi sana kushika bara bara..mfano Crown au fuga...
Ujasiri na uwezo wa gari,sasa Una IST ujasiri itakufikisha wapi maanake utaishia kuua engine haiwezi kuvuka limit yake. Hivi IST ina hp ngapi? Inafika 100hp?Kuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.
Wakati narudi Dar, kuna Audi ilinipita kwa speed ya ajabu hata plate number sikuweza soma herufi hata 1.
Am sure yule jamaa alikuwa kwenye 240kph na kuendelea.
watu wapo seripus asee na mwendo.. uzuri gari za ulaya 240kmh kawaida kabisa haina shida na kama umeizoea gari, nakumbuka hii speed ilikuwa kama kawaida hadi mtu wangu pembeni aniambie punguza ndio nashtukaKuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.
Wakati narudi Dar, kuna Audi ilinipita kwa speed ya ajabu hata plate number sikuweza soma herufi hata 1.
Am sure yule jamaa alikuwa kwenye 240kph na kuendelea.
Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...Ni rahisi kutembea na mzungu 220kmh kuliko mjapan 180kmh.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi usiku sitaki kabisa kusafiri. Kuna siku tumenusurika kuliingia lori kwa nyuma kisa uoni hafifu.Ndio maana nimeacha kusafiri usiku. Hatari sana
Sasa hapo inabidi ubadilishe dashboard au siyo?Mambo ya computer hayo. Wanatoa kwa 1m mpaka 2m
Safi sana ndio inavyotakiwa, ndio kazi ya gari hiyo..Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...View attachment 2067496
Sema 180kmh haina maajabu, ya kawaida sana, haishtui hata kidogo mtu alie pembeni.. kuna mwendo unapita na gari ukiangalia kwenye side mirror hadi wa pembeni wanashika kiuno kugeuka kutazama au unakuta wa mbele yako ana salute.. kuna siku natokea salanda pale nimechafukwa kishenzi asee kuna mahala nimepita ikapigwa simu mbele nakutana na trafic nilikuwa kibabe wanaishia kusema poti punguza mwendo hapo hapo kiatu ๐๐๐๐Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...View attachment 2067496
Unaona mwamba anavoteleza na mark x hapo? Na yupo comfortable kabisa. Hizo 150kph mnazoendesha kwenye mjepu na kuanza kupata kiwewe ni nyie madereva wa magari ya ulaya.Safi sana ndio inavyotakiwa, ndio kazi ya gari hiyo..
Kuna yale matuta ya kipuuzi ya watengeneza barabara huwa yanakera ndio huwa yansumbua magari ya chiniWala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Ninachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?Sema 180kmh haina maajabu, ya kawaida sana, haishtui hata kidogo mtu alie pembeni.. kuna mwendo unapita na gari ukiangalia kwenye side mirror hadi wa pembeni wanashika kiuno kugeuka kutazama au unakuta wa mbele yako ana salute.. kuna siku natokea salanda pale nimechafukwa kishenzi asee kuna mahala nimepita ikapigwa simu mbele nakutana na trafic nilikuwa kibabe wanaishia kusema poti punguza mwendo hapo hapo kiatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetokea Japan nikaenda German.. Kuna tofauti uwapo ndani ya Japan na German.. labda kwa hizi Japan matoleo ya ulaya. Sema sio wa kuwabeza wajapan wametuleaUnaona mwamba anavoteleza na mark x hapo? Na yupo comfortable kabisa. Hizo 150kph mnazoendesha kwenye mjepu na kuanza kupata kiwewe ni nyie madereva wa magari ya ulaya.
Ukimuangalia huyo unamuonaje kwanza ๐๐๐๐๐.. Sio kwamba wajapan hazifili 180kmh, zinafika ila zinahitaji roho ngumu, tofauti na German, hizo ulaya unajikuta upo 200kmh hujui kama umefika huko.. kuna tofauti mkuu.. hata mie nafikaga na mjapan 180kmh ila siamini sana kama napo kuwa 200+ na mzunguNinachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?
Katika tuta za kipuuzi ni zile za Gairo na kiyegeya huwa zinatesa sana sisi wenye magari ya chini. Tena tuta za Gairo ni mpya, zinaboa sana hasa zile rastaKuna tuta moja pale halina vile vi rasta wala kibao. Lakini zaidi matuta Yale ya kiyegea mpaka mabasi Yana gusa pia na zile za gairo ndo kiboko zaidi
Cheki hii mkuumafinga- makambako hii japo safari ilikuwa Dar to mbeya... mwendo wa masaaView attachment 1680799
Kama umeamua kubisha bisha tu ila huwezi kufananisha handling ya European car na Japanese hata kidogo kwenye high speed. Naelewa kuna watu hawezi kuona tofauti ya handling hata Kati ya Prado mchanga na Crown yeye anaona yote Sawa tu.Unaona mwamba anavoteleza na mark x hapo? Na yupo comfortable kabisa. Hizo 150kph mnazoendesha kwenye mjepu na kuanza kupata kiwewe ni nyie madereva wa magari ya ulaya.
Hiki chombo nilifika 160 km/h na sikukipata nahisi alikuwa zaidi ya hii 160,ila ajabu ni kama alikuwa na mchezo anawatangulia halafu mbele anaingia kushoto halafu anatokea tena nyuma na kutangulia.Hahahaha RR utafikiri nilikusoma kabla ya kuwema comment yangu. Mjapan ukifika 150 ni lazima mguu urudi kati unless uwe umeyatoa maisha yako sadaka na bange imetawala kichwani..
Fanya practical, kaendesha BMW 180kph na Crown 180kph kama hutaona tofauti wewe sio dereva unajua kukamyaga gari iende mbele na bahati mbaya ndio waliojaa barabarani.Ninachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?
HaWa Si ndio wavuta bangi tunaowaongelea unamuona Yuko Sawa huyo? Ndio maana mark X ziliwachinja sana,sasa hivi zamu ya Crown.Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...View attachment 2067496
Sawa bwana dereva.... watu mkiwa na magari ya ulaya mnajiona madereva kuliko wengine wote yaani. Acha hizo mkuu...Fanya practical, kaendesha BMW 180kph na Crown 180kph kama hutaona tofauti wewe sio dereva unajua kukamyaga gari iende mbele na bahati mbaya ndio waliojaa barabarani.