Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.

Wakati narudi Dar, kuna Audi ilinipita kwa speed ya ajabu hata plate number sikuweza soma herufi hata 1.

Am sure yule jamaa alikuwa kwenye 240kph na kuendelea.
Ujasiri na uwezo wa gari,sasa Una IST ujasiri itakufikisha wapi maanake utaishia kuua engine haiwezi kuvuka limit yake. Hivi IST ina hp ngapi? Inafika 100hp?
 
Kuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.

Wakati narudi Dar, kuna Audi ilinipita kwa speed ya ajabu hata plate number sikuweza soma herufi hata 1.

Am sure yule jamaa alikuwa kwenye 240kph na kuendelea.
watu wapo seripus asee na mwendo.. uzuri gari za ulaya 240kmh kawaida kabisa haina shida na kama umeizoea gari, nakumbuka hii speed ilikuwa kama kawaida hadi mtu wangu pembeni aniambie punguza ndio nashtuka
 
Ni rahisi kutembea na mzungu 220kmh kuliko mjapan 180kmh.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...
 
Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...View attachment 2067496
Sema 180kmh haina maajabu, ya kawaida sana, haishtui hata kidogo mtu alie pembeni.. kuna mwendo unapita na gari ukiangalia kwenye side mirror hadi wa pembeni wanashika kiuno kugeuka kutazama au unakuta wa mbele yako ana salute.. kuna siku natokea salanda pale nimechafukwa kishenzi asee kuna mahala nimepita ikapigwa simu mbele nakutana na trafic nilikuwa kibabe wanaishia kusema poti punguza mwendo hapo hapo kiatu 😂😂😂😂
 
Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Kuna yale matuta ya kipuuzi ya watengeneza barabara huwa yanakera ndio huwa yansumbua magari ya chini
 
Sema 180kmh haina maajabu, ya kawaida sana, haishtui hata kidogo mtu alie pembeni.. kuna mwendo unapita na gari ukiangalia kwenye side mirror hadi wa pembeni wanashika kiuno kugeuka kutazama au unakuta wa mbele yako ana salute.. kuna siku natokea salanda pale nimechafukwa kishenzi asee kuna mahala nimepita ikapigwa simu mbele nakutana na trafic nilikuwa kibabe wanaishia kusema poti punguza mwendo hapo hapo kiatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?
 
Unaona mwamba anavoteleza na mark x hapo? Na yupo comfortable kabisa. Hizo 150kph mnazoendesha kwenye mjepu na kuanza kupata kiwewe ni nyie madereva wa magari ya ulaya.
Nimetokea Japan nikaenda German.. Kuna tofauti uwapo ndani ya Japan na German.. labda kwa hizi Japan matoleo ya ulaya. Sema sio wa kuwabeza wajapan wametulea
 
Ninachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?
Ukimuangalia huyo unamuonaje kwanza 😂😂😂😂😂.. Sio kwamba wajapan hazifili 180kmh, zinafika ila zinahitaji roho ngumu, tofauti na German, hizo ulaya unajikuta upo 200kmh hujui kama umefika huko.. kuna tofauti mkuu.. hata mie nafikaga na mjapan 180kmh ila siamini sana kama napo kuwa 200+ na mzungu
 
Kuna tuta moja pale halina vile vi rasta wala kibao. Lakini zaidi matuta Yale ya kiyegea mpaka mabasi Yana gusa pia na zile za gairo ndo kiboko zaidi
Katika tuta za kipuuzi ni zile za Gairo na kiyegeya huwa zinatesa sana sisi wenye magari ya chini. Tena tuta za Gairo ni mpya, zinaboa sana hasa zile rasta
 
Unaona mwamba anavoteleza na mark x hapo? Na yupo comfortable kabisa. Hizo 150kph mnazoendesha kwenye mjepu na kuanza kupata kiwewe ni nyie madereva wa magari ya ulaya.
Kama umeamua kubisha bisha tu ila huwezi kufananisha handling ya European car na Japanese hata kidogo kwenye high speed. Naelewa kuna watu hawezi kuona tofauti ya handling hata Kati ya Prado mchanga na Crown yeye anaona yote Sawa tu.
 
Hahahaha RR utafikiri nilikusoma kabla ya kuwema comment yangu. Mjapan ukifika 150 ni lazima mguu urudi kati unless uwe umeyatoa maisha yako sadaka na bange imetawala kichwani..
Hiki chombo nilifika 160 km/h na sikukipata nahisi alikuwa zaidi ya hii 160,ila ajabu ni kama alikuwa na mchezo anawatangulia halafu mbele anaingia kushoto halafu anatokea tena nyuma na kutangulia.
IMG_20220102_175035_199.jpg
 
Ninachokataa hapa ni hizo kauli za gari ya kijapani ukifika 150kp inaanza sijui kufanya nn... huyo hapo unamuona yupo ngapi? Unamuona ana wasiwasi kama ambavyo mnataka kutuaminisha humu?
Fanya practical, kaendesha BMW 180kph na Crown 180kph kama hutaona tofauti wewe sio dereva unajua kukamyaga gari iende mbele na bahati mbaya ndio waliojaa barabarani.
 
Mbona watu wanateleza tu na mjepu bro? Mimi nimcruise Subaru forester 240kph mara nyingi sana na video ninazo... hao wajepu munaowaongelea kila siku humu sijui ni wepi...View attachment 2067496
HaWa Si ndio wavuta bangi tunaowaongelea unamuona Yuko Sawa huyo? Ndio maana mark X ziliwachinja sana,sasa hivi zamu ya Crown.
 
Back
Top Bottom