Hatari sana aisee. Kuna jamaa aliwahi kunipita na Vitz aisee sikuiona hadi naingia Dodoma. Jamaa ni alikuwa anapaa, anaendesha kama kavuta bangi, hata overtake zake hazizingatii tahadhari kabisa. Hawa jamaa hawafai kupewa magari yenye performance kubwa maana tutawapoteza sanaHuwezi kukuta IST highway inaenda mwendo wa kinyonge, wote wanakamua balaa!
Mule uzuri hata ukikamua bado utajikuta mafuta ni yale yale ya laki yamekufikisha destination!😅Huwezi kukuta IST highway inaenda mwendo wa kinyonge, wote wanakamua balaa!
Mi sitaki hata lifti yake maana hata town trips yeye ni kukimbia tuMtampoteza mapema[emoji28] mwache akae kwenye NZ-T hio
Yes, uzuri wa hivi viduchu vinatumia mafuta vizuri sana. Ukikanyaga sana hardly katatumia 13 km/LMule uzuri hata ukikamua bado utajikuta mafuta ni yale yale ya laki yamekufikisha destination![emoji28]
Sasa we kamua brevis uone mziki wake[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa huoni raha hio mwezio anapiga 140KPH kwa 13KM/L wewe ukipiga speed hio hio ngoma inatafuna 7KM/L 😅😅😅Yes, uzuri wa hivi viduchu vinatumia mafuta vizuri sana. Ukikanyaga sana hardly katatumia 13 km/L
Sahihi kabisa, tofauti ni kubwa sana. Mnasafiri umbali sawa, na spidi sawa na mnafika pamoja lakini mwingine anatumia nusu ya mafuta aliyotumia mwengine. Ndio maana hawa wa Vigari vidogo muda wote wanavinyaga sanaSasa huoni raha hio mwezio anapiga 140KPH kwa 13KM/L wewe ukipiga speed hio hio ngoma inatafuna 7KM/L [emoji28][emoji28][emoji28]
Mjapani wanamletea kibesi sababu anaishia 180KPH ila mi nakwambia siku moja tukutane huko nina Lexus yangu ya 280KPH majibu watayapata mbona.[emoji22][emoji22][emoji22]Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...
Si mchezo...
AtavimbaaHuwa najiuliza huyu mwenye IST akipewa V8 si balaa!
Halafu upenyee kushoto mzee? Hujakutana na scania badoIla ukitaka kuovateki kirahisi unabana kushoto, unaangalia mbele kupitia kushoto.
Nimeingia jana... Uliondoka lini?Nimekaa Arusha mpaka nimeondoka hujarudi!
Hahahahah kumekucha mzee😅 msiogopeHatimae umefika. Tusamehe mkuu.
Aah nilikuwa sijakusoma kwa LHD ni sahihiNope unaangalia mbele kupitia kushoto.
Sema gari inakula vizuri sana hii. Wengine wakikamua kama 1JZ lazma uangukie kwenye 7KM/LView attachment 2066471
Dar-Arusha-Dar na misele ya Arusha nimetembea km 1310, nimetumia wese 340,000/-. Wakati wa kurudi nimekamua sana.
Average 10.6km/L
Gari nzuri japo sijawahi kuvutiwaga na Honda carsWazee wa Road Trip naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau.
Wasifu wa hii gari ni manual transmission yenye real time 4WD, gari ni left hand drive, mmiliki ni muhindi anakaa upanga hapo, aliinunua ikiwa zero mileage plate number ni CK, Hadi Sasa inasoma 130,000 mileage. Nimevutiawa na dash yake inasoma Kmh220 na Mph140.
Kwa wasifu huu mfupi mnanishaurije wadau? Kwenye swala la upatikanaji wa spare na mengineyo muhimu. CC RRONDO Bavaria Kijana wa hovyo hovyo Offshore Seamen ISO M.CodD na wengine wenye uzoefu na hii gari..
Natanguliza shukran.
Wazee wa picha :
View attachment 2065999View attachment 2066000View attachment 2066001View attachment 2066002
Halafu sasa lile la 3.0L ndio utashangaa linakula vizuri sana kuliko 2.5L 😅😅😅 huwa nashangaaga sana hiZi crownAisee iko vizuri sana, inanipa namba za 2.0FSi VW!