Wazee wa Road Trip naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau.
Wasifu wa hii gari ni manual transmission yenye real time 4WD, gari ni left hand drive, mmiliki ni muhindi anakaa upanga hapo, aliinunua ikiwa zero mileage plate number ni CK, Hadi Sasa inasoma 130,000 mileage. Nimevutiawa na dash yake inasoma Kmh220 na Mph140.
Kwa wasifu huu mfupi mnanishaurije wadau? Kwenye swala la upatikanaji wa spare na mengineyo muhimu. CC
RRONDO Bavaria Kijana wa hovyo hovyo Offshore Seamen ISO M.CodD na wengine wenye uzoefu na hii gari..
Natanguliza shukran.
Wazee wa picha :
View attachment 2065999View attachment 2066000View attachment 2066001View attachment 2066002