Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Siku zote ukiendesha baby walker, unajistukia kuwa unadharauli hivyo unatanua mbavu...Huwezi kukuta IST highway inaenda mwendo wa kinyonge, wote wanakamua balaa!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Japan ni mkombozi wa wanyongeHatimae umefika. Tusamehe mkuu.
Kuna sera ambayo huwa naitumia nadhani itakusaidia.Hii njia ya Arusha-Dom ya ajabu sana usiombe upite usiku yaan vituo vyote vya mafuta jamaa wamefunga wameenda kulala nimetembea karibia km 200 sijapata mafutaView attachment 2068239
Watu wa IST tuna inferiority flani.Huwa najiuliza huyu mwenye IST akipewa V8 si balaa!
Wanyonge kwa maana ya gharama za kuendesheka kila siku...spea..Mbona bei zile zile tu, unyonge upi? Sema soko lake kubwa Tz hivyo spare za kumwaga.
Nikiwa na kasafari ka Arusha-Dar, nikifika Same tu najazia...hapo natoboa bila wasi wasi...Kuna sera ambayo huwa naitumia nadhani itakusaidia.
Kama unasafiri ukafika sehemu unakuta kuna fuel stations za kueleweka na tank lako linaonesha nusu, jaza full tank tembea. Manake huwezi jua huko mbele utakutana na nini.
Kuna mwaka tulisafiri toka Dar kwenda Arusha, nafika Moshi mjini taa inawaka na petrol hakuna mji mzima. Nilipaki gari sheli nikapanda bus kwenda arusha. Nikarudi baada ya siku 3 mafuta kuja.
Toka siku hiyo, kama nasafiri, tank likiwa nusu, najaza full.
Taa inawaka wewe roho juu abiria hata hawajui nini kinaendelea!Nikiwa na kasafari ka Arusha-Dar, nikifika Same tu najazia...hapo natoboa bila wasi wasi...
Ulichoandika cha taa kuwaka hakafu huoni kituo cha kujazia karibu kilishawahi kunitokea....yaani mpka ujasiri unapungua
Kuna mwamba nilikuta yupo na mkewe porini kati ya Dodoma na Iringa kaishiwa mafuta, yeye alijua kati ya dom na Iringa kuna petrol station kumbe hakuna. Alimwacha mkewe pale porini, yeye nikampa lift hadi mjini ili akanunue kwenye kidumuKuna sera ambayo huwa naitumia nadhani itakusaidia.
Kama unasafiri ukafika sehemu unakuta kuna fuel stations za kueleweka na tank lako linaonesha nusu, jaza full tank tembea. Manake huwezi jua huko mbele utakutana na nini.
Kuna mwaka tulisafiri toka Dar kwenda Arusha, nafika Moshi mjini taa inawaka na petrol hakuna mji mzima. Nilipaki gari sheli nikapanda bus kwenda arusha. Nikarudi baada ya siku 3 mafuta kuja.
Toka siku hiyo, kama nasafiri, tank likiwa nusu, najaza full.
Kama vile ulikuwepo mkuu...[emoji3][emoji3][emoji3]Taa inawaka wewe roho juu abiria hata hawajui nini kinaendelea!
Kama unaenda sehemu usiyoijua, ni afadhali kuongeza mafuta pale tu unapoona kituo...Kuna mwamba nilikuta yupo na mkewe porini kati ya Dodoma na Iringa kaishiwa mafuta, yeye alijua kati ya dom na Iringa kuna petrol station kumbe hakuna. Alimwacha mkewe pale porini, yeye nikampa lift hadi mjini ili akanunue kwenye kidumu
Nakuona jinsi ambavyo ulikuwa huna raha,Kama vile ulikuwepo mkuu...[emoji3][emoji3][emoji3]
Aliyekaa pembeni ananisemesha...Haya mandhari ya hili eneo mazuri sana......Mimi nawaza where is the next petrol station..?[emoji2960][emoji2960][emoji3]
Hata korogwe pia, napaona kama katikati.Nikiwa na kasafari ka Arusha-Dar, nikifika Same tu najazia...hapo natoboa bila wasi wasi...
Ulichoandika cha taa kuwaka hakafu huoni kituo cha kujazia karibu kilishawahi kunitokea....yaani mpka ujasiri unapungua
Kwa kweli raha ya safari inaisha...[emoji2957]Nakuona jinsi ambavyo ulikuwa huna raha,
Korogwe pia ni center nzuri..Hata korogwe pia, napaona kama katikati.
Ule moto ninaouwasha same naona geji ya mafuta inashuka huku ikikimbia.
Nikifika korogwe kama najaza upya.
Nishawahi toka Arusha mpaka Same geji ya mafuta haijasogea hata jiwe moja.
Pamoja tunajenga taifa letu!Kama umeagiza gari pitia calculator ya TRA tena, mambo yamekuwa mengi.
Bavaria ISO M.CodD Kijana wa hovyo hovyo Boeing 747
Only milk comes in 2L [emoji23][emoji23][emoji23]Tuanzie 3L si ndio?