Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudiHata korogwe pia, napaona kama katikati.
Ule moto ninaouwasha same naona geji ya mafuta inashuka huku ikikimbia.
Nikifika korogwe kama najaza upya.
Nishawahi toka Arusha mpaka Same geji ya mafuta haijasogea hata jiwe moja.
Kwenda arusha ni kama unapandisha kilima. Utatumia mafuta mengi zaidi ya kurudi ambapo unashuka.Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudi
Unaendesha mpaka inabaki 7km? Duh huyu mwamba akifika around 30 anageuka desh desh na nyota nyota * * . * *Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudi
Kuna ile ya kutafuta sheli ya Total au Puma au Oryx.... He he he unaweza ingia cha kike huko maporiniKama unaenda sehemu usiyoijua, ni afadhali kuongeza mafuta pale tu unapoona kituo...
Unachokitafuta utakipata. Naona ni team "I know my car"Nishaendesha 10km baada ya kunionesha Range 0km
Wazee wa vidumu na madogo wanaoiba magari ya homeHa ha ha nilikuwa napima ikionesha 0km range naweza kusogea umbali gani. Nimepata conclusion kuishiwa mafuta na una hela ni uzembe wa hali ya juu.
Hii safari ulikua na gari gani Mkuu?Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudi
Hapo ndiyo utaelewa Ndugai ni nani..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Kuna ile ya kutafuta sheli ya Total au Puma au Oryx.... He he he unaweza ingia cha kike huko maporini
Hizo clip za mark x zipo mbili nimewahi ziona karibu miaka5 iliyo pita embu post na ile clip ya pili wakat jamaa akiwa hatamaniki maana hata zile airbags hazikusaidia chochoteHahahahaha..... nimekosa mimi... nimekosa mimi... nimekosa sana.... tupo pamoja PRONDO..
Ile ajali haikumuhusisha huyu jamaa mkuu.... pitia vizuri humuhumu jukwaani utaona. AsanteHizo clip za mark x zipo mbili nimewahi ziona karibu miaka5 iliyo pita embu post na ile clip ya pili wakat jamaa akiwa hatamaniki maana hata zile airbags hazikusaidia chochote
Leo nipoWazee wa vidumu na madogo wanaoiba magari ya home
Amenikumbusha mbali miaka hiyo nasoma ..Mkuu watoto wachape kwa makosa mengine ya utovu wa nidhamu, kiburi n.k lkn kuandika ukutani, n.k usihangaike, utaumiza tu watoto, na utakuwa unawaonea bure. Kuandika andika pasipostahili Ni katika hatua za ukuaji just like watoto kupenda kula mchanga na kuwa wadadisi. Everything is new to them and everything is adventure. Kuwa na moyo mweupe kwa watoto, wavumilie, hata wewe wazazi wako walikuvumilia kwa mengi hata kama walikupiga baadhi but trust me yapo mengi mno ambayo hawakukupiga.
Huyo mwanao hata ukimletea ubao wa kuandika bado ataandika pasipostahili, ni utoto tu, muda fulani ukifika ataacha. We endelea tu kumuelekeza.
🤣🤣🤣True kabisa, binafsi spidi yangu mwisho 120, napenda kutembea kati ya 90 na 110. Ukinipita haina maana kuwa gari haina mbio. Pia kuna dereva wa Ofisini yeye huwa havuki 140 japo anaendesha gari kali sana, na mwingine havuki 160 lkni gari lake 260 kph. Wapo madereva wengi huwa wana limit ya mwendo kasi wa kuendesha. Binafsi nimejiwekea spidi limit ya kuendesha gari baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sana
🤣🤣🤣🤣Ulikuwa unajikimbiza mwenyewe. Ndio nyinyi na IST unakuta mwenye Crown kaamua kutembea 120kph unajikamua unapita na 135koh halafu unaenda kujisifu nimeichapa Crown.
Hahaha yenye cc 1290 nadhani ni 90 hp yenye 1490 nadhani 109 hp.Ujasiri na uwezo wa gari,sasa Una IST ujasiri itakufikisha wapi maanake utaishia kuua engine haiwezi kuvuka limit yake. Hivi IST ina hp ngapi? Inafika 100hp?
Kituo chako kipo wapi?Leo nipo
Njoo kutuungisha full tank