Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mzee wa kimasai kaharibu hali ya hewa kabisa
 
Dah hapo patamu kweli yani ningenyoosha sana 😅 hasa uwe na chuma yenye 260KPH ni kusepa tu!

Burudani ilioje yani ingekuwa nafanya mchezo waku weave tu nakimbia namkata mtu narudi site yangu 😅huwa nainjoy sana huo mchezo ni hatari lakini burudani!
 
Unakuta mtu anatoa elfu 5 huku amenyosha macho kwenye usukani..hataki hata kugeuka yaani.
Ukiweka mafuta ya ef 5 baada ya kumpa agizo mshika pampu lazma uchezee redio ya gari kidogo ili kupoteza maboya😅 na litre 2.10 yako hahahah haina kudai risiti.

Mara nyingi nikiwa naenda Park ndio nawekaga wese la buku 5 la kuendea sheli next day.
 
Ukiweka mafuta ya ef 5 baada ya kumpa agizo mshika pampu lazma uchezee redio ya gari kidogo ili kupoteza maboya😅 na litre 2.10 yako hahahah haina kudai risiti.

Mara nyingi nikiwa naenda Park ndio nawekaga wese la buku 5 la kuamkia sheli!
Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
 
Bajeti.
 
Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight away
 
Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight away
Hayo ni makosa ya kiufundi,atakuwa hakusikia vizuri...
Mwingine anasikia lakini anakosea pale kwenye kuandika.
Hapo hakuna namna ni aidha umuonee huruma ulipe au alipe yeye au mafuta yachujwe kwenye gari ambayo ni usumbufu sana kwa mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…