Asante sanaExtrovert yupo majukwaani huko tunakutana naye..ila hajaingia tu humu...ndiyo maana hajauliziwa.
Pole sana kwa ajali mkuu,,
Next time ukiadimika tunaahidi tutakutafuta kwa nguvu zote.
Mungu wa Mbinguni akulinde[emoji120]
Pengine ni kwa vile huwa naingia katika Uzi huu zaidi. Basi heri Kama yupo.Extrovert yupo majukwaani huko tunakutana naye..ila hajaingia tu humu...ndiyo maana hajauliziwa.
Pole sana kwa ajali mkuu,,
Next time ukiadimika tunaahidi tutakutafuta kwa nguvu zote.
Mungu wa Mbinguni akulinde[emoji120]
Heri na kwako pia mzee wa kaziDuh mkuu pole sana kwa ajali mbaya...mie nipo mkuu, heri ya mwaka mpya mkuu
Asante sanaDuh mkuu pole sana kwa ajali mbaya...mie nipo mkuu, heri ya mwaka mpya mkuu
AmenMkuu pole sana kwa ajali uliyopata, na Asante kwa Muumba kwa kukuweka hai.
Yupo😁Pengine ni kwa vile huwa naingia katika Uzi huu zaidi. Basi heri Kama yupo.
Duh nimecheka ingawa ilikuwa hatari 😎😎😎Amen
Asante sana.
Wakati najinasua humo kwa mbali nikasikia sauti za wasamalia wema wakisema "njooni tutoe maiti humu hatotoka mtu" so ni muumba Tu alitenda miujiza yake. SIKUUMIA KOKOTE japo alie sababisha alikimbia
Asante sana mkuu.... Kwahiyo tuendelee kukaa kijeshi jeshi au tulegeze ?[emoji1]Pole mkuu.
Mzinga kama huu sio wa kitoto.
Ila mara nyingi wale wanaouliziwa utakuta wanafahamiana na wadau wengine nje ya jukwaa.
Sasa ukikaa kijeshi kama mimi, siku ukipotea ni ngumu kuuliziwa.
Pole sana mkuu.Amen
Asante sana.
Wakati najinasua humo kwa mbali nikasikia sauti za wasamalia wema wakisema "njooni tutoe maiti humu hatotoka mtu" so ni muumba Tu alitenda miujiza yake. SIKUUMIA KOKOTE japo alie sababisha alikimbia
Muoga SanaMimi yoyote yale siwezi zamisha mwili wangu kuogelea aisee!
Kwenye maji nakubali mimi muoga😁Muoga Sana
Maisha hayako fair mkuu, kuna watu wazito humu [emoji1787][emoji1787]Tumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.
Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
Ilikuwaje?Amen
Asante sana.
Wakati najinasua humo kwa mbali nikasikia sauti za wasamalia wema wakisema "njooni tutoe maiti humu hatotoka mtu" so ni muumba Tu alitenda miujiza yake. SIKUUMIA KOKOTE japo alie sababisha alikimbia
🤣🤣🤣🤣Pole mkuu.
Mzinga kama huu sio wa kitoto.
Ila mara nyingi wale wanaouliziwa utakuta wanafahamiana na wadau wengine nje ya jukwaa.
Sasa ukikaa kijeshi kama mimi, siku ukipotea ni ngumu kuuliziwa.
Tatizo wengine mmekaa kijeshi sana,hadi mtu kuwachekea anaogopa😁.Maisha hayako fair mkuu, kuna watu wazito humu [emoji1787][emoji1787]
Pole sana kwa mzinga mkuu, la muhimu uhai
Tatizo wengine mmekaa kijeshi sana,hadi mtu kuwachekea anaogopa[emoji16].
JItahidi basi msiwe serious mno ili watu wawachekee na wawaulizie[emoji13]
Asante sanaHeri na kwako pia mzee wa kazi
Angalau muwe mnatabasamu jamani.Inabidi tupunguze u serious kidogo..
Kuna jamaa kaua nyati wawili huko Mikumi leo,wanamdai Million 9 naskia..