b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 356
- 1,208
Asante sanaExtrovert yupo majukwaani huko tunakutana naye..ila hajaingia tu humu...ndiyo maana hajauliziwa.
Pole sana kwa ajali mkuu,,
Next time ukiadimika tunaahidi tutakutafuta kwa nguvu zote.
Mungu wa Mbinguni akulinde[emoji120]