Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unamwita ISO mzungu wa roho sana huyo boss.Rafiki una jina gumu sana.
Nikikutana na wewe mtaani nakuitaje?
Nimejaribu kupata picha nimeshindwa.
Asije akalalamika mkuu [emoji2][emoji2]Waambie tu huwa mnanimiss sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo page 1000 unakomaa nazo unabishana😂🙌Yes kama mimi mwanzo nilivyokuwaga nabishana kwenye lile jukwaa letu. Watu wengi walidhaniaga mie kauzu sizoeleki ila baadhi walivyonifahamu wakabaki tu "wewe mbona hufananii na yale unayoyaandika kule" nawaambiaga wakati mwingine tunachangamshaga genge tu sema watu wanacatch feelings.
Aah kabisa sijui unawafanyaga nini [emoji1][emoji1]Hahahahah ina maana mie ni Ban Oriented
Yeah [emoji846][emoji846]Ukiwa maarufu humu ni rahisi watu ku notice haupo
Kama ni passo heri aiache tu.Awaachie gari wauze chuma chakavu.
Ukishinda siasani hutoboi wiki bila banAah kabisa sijui unawafanyaga nini [emoji1][emoji1]
Oysterbay na Masaki ni ngumu kuzitofautisha. Labda uwe mwenyeji hayo maeneo.Ahaa hapo umenifungua sasa, kwahio kuanzia Chole road ndio Masaki inapoanza?
Kushoto unaitafta Engen kulia unaitafuta coloseum mpaka IST kule?
Oysterbay najua ni kuanzia Cardinal mataa ya Jangid plaza yale opposite na Rugambwa Hall upande wote wa kulia ule ndio obey😅 kabla hujafika junction ya chole road kwenda Village supermarket hadi rapsohdys. Ila ukiendelea mbele kuanzia IST na kwenda mbele ni Masaki.Oysterbay na Masaki ni ngumu kuzitofautisha. Labda uwe mwenyeji hayo maeneo.
Kuna sehemu unaweza hisi upo Masaki kumbe upo Oysterbay.
Huyu anaweza akawa computer programmer.Haya majina ya kitaaluma Yana shida sana. Kuna madokta humu wanajiita majina ya dawa!
Unadhani hata huwa nazunguka basi.Kivukoni pale si kuna gari za Tabata au
Acha tu.Kwamba unajiona umeyapatia maisha [emoji23][emoji23]
Hamna ubabe hapo.Unamwita ISO mzungu wa roho sana huyo boss.
Bavaria jina limekaa kibabe yaani hadi kukuquote tunaogopa.
Hahahahah mwendo wa weaving tu! Usiombee taa ziwake green niwe mwanzo wa msafara😅 wanyuma huwa lazma niwasomeshe namba.Gari ikiwa full tank na nguvu za kiume zinarudi mara dufu.
Unawaona wa pembeni mafala wote.
Dah jamaa ushawahi kuchachafya hoja zangu kipindi fulani tulikuwa tunabishana hoja za kitoto kwenye uzi fulani.Hamna ubabe hapo.
Wewe quote tu.
Bahati mbaya huwa sipati notification, naweza nisiione quote yako milele kama sio official thread.
Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.Dah sijawahi kutukanwa tusi kubwa namna hii! Ila kwakuwa nimempokea Kristo wacha ninyamaze kwa leo![emoji28]
Hio miili inawadanganya sana jamani wengine hatujakulia mboga 8! Nikikuonesha kijana anaenisalimia kila asubuhi akienda skuli unaweza kubaki taya wazi.
Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.Watu wanantafutia Ban tu wala mie sina baya[emoji28] inapotokea mtu anaongea upuuzi mbele yangu inanipa ukakasi!
Ni sawa na mtu anaesema rangi ya school bus ni nyeusi na kutetea uongo huo kwa nguvu mbele ya halaiki ya watu wanaoona ni rangi ya njano. Huwa sina la ziada zaidi ya kulimwa ban tu maana huwa ntamwambia asichopenda kusikia.
😅😅😅😅😅😅 hio salamu ni ya kishwayne sema huwa kulinda title lazma niitike.Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.
Mie kwangu salamu siyo dili hasa shkamoo, mdogo wangu wa mwisho kila tukionana ananisalimiaga shkamoo huwa sijibu marahaba na hajawahi kuacha. Ndiyo kwanza ananiulizaga hivi kwanini hupendi kujibu shkamoo akinisalimia shkamoo huwa najibu "vipi mzima dogo".
Nilikua natoka Dom - Arusha.Ilikuwaje?