Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yes kama mimi mwanzo nilivyokuwaga nabishana kwenye lile jukwaa letu. Watu wengi walidhaniaga mie kauzu sizoeleki ila baadhi walivyonifahamu wakabaki tu "wewe mbona hufananii na yale unayoyaandika kule" nawaambiaga wakati mwingine tunachangamshaga genge tu sema watu wanacatch feelings.
Dogo page 1000 unakomaa nazo unabishana😂🙌
Nilivyokuja kukuona aisee,hufananii na kubishana comments zote 1000🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Oysterbay na Masaki ni ngumu kuzitofautisha. Labda uwe mwenyeji hayo maeneo.

Kuna sehemu unaweza hisi upo Masaki kumbe upo Oysterbay.
Oysterbay najua ni kuanzia Cardinal mataa ya Jangid plaza yale opposite na Rugambwa Hall upande wote wa kulia ule ndio obey😅 kabla hujafika junction ya chole road kwenda Village supermarket hadi rapsohdys. Ila ukiendelea mbele kuanzia IST na kwenda mbele ni Masaki.

Jografia ya Ushuani imekaa ovyo sana😅!

Upande wote mpk mataa ya palm beach sini oysterbay😅???
 
Dah sijawahi kutukanwa tusi kubwa namna hii! Ila kwakuwa nimempokea Kristo wacha ninyamaze kwa leo![emoji28]

Hio miili inawadanganya sana jamani wengine hatujakulia mboga 8! Nikikuonesha kijana anaenisalimia kila asubuhi akienda skuli unaweza kubaki taya wazi.
Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.

Mie kwangu salamu siyo dili hasa shkamoo, mdogo wangu wa mwisho kila tukionana ananisalimiaga shkamoo huwa sijibu marahaba na hajawahi kuacha. Ndiyo kwanza ananiulizaga hivi kwanini hupendi kujibu shkamoo akinisalimia shkamoo huwa najibu "vipi mzima dogo".
 
Watu wanantafutia Ban tu wala mie sina baya[emoji28] inapotokea mtu anaongea upuuzi mbele yangu inanipa ukakasi!

Ni sawa na mtu anaesema rangi ya school bus ni nyeusi na kutetea uongo huo kwa nguvu mbele ya halaiki ya watu wanaoona ni rangi ya njano. Huwa sina la ziada zaidi ya kulimwa ban tu maana huwa ntamwambia asichopenda kusikia.
Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.
 
Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.

Mie kwangu salamu siyo dili hasa shkamoo, mdogo wangu wa mwisho kila tukionana ananisalimiaga shkamoo huwa sijibu marahaba na hajawahi kuacha. Ndiyo kwanza ananiulizaga hivi kwanini hupendi kujibu shkamoo akinisalimia shkamoo huwa najibu "vipi mzima dogo".
😅😅😅😅😅😅 hio salamu ni ya kishwayne sema huwa kulinda title lazma niitike.
 
1641899629642.png
1641899629642.png

Watu 14 wamefariki dunia baada ya ajali iliohusisha magari ya msafara wa mkuu wa mkoa na daladala Hiace
 
Ilikuwaje?
Nilikua natoka Dom - Arusha.
Kufika makuyumi huwa Kuna kizuizi usiku kwajili ya magari makubwa kukaguliwa, gari ndogo zina pita.

Baada ya kizuizi kuna mizani hivyo magari makubwa yakitoka kukaguliwa huingia mizani alafu yanaendelea mbele uelekeo wa Arusha.

Kumbe kuna gari kubwa moja walipita pale kwenye kizuizi kimagumashi Kwa kutoa ela ya kiwi kwasababu gari Lao bovu sanaa.

Ghafla nikalikuta halina taa hata moja, halina reflector na linatoa Moshi mwingi Sana wakati huo chombo imesha kubali gear na upande wapili kuna chombo ingine iko mafuta Sana.

Option niliyo Kua Nazo za haraka ni kuigonga Kwa nyuma Ile gari mbovu, kuigonga Uso Kwa uso Ile gari ilyo Kua inatoka Arusha au kulimwaga porini.

Mind you hapo barabara iko juu porini ni chini na kuna wanyama.

Basi nikalitupa huko porini likapinduka mara mbili lakini kabla nilisha hangaika na brakes gari ikawa ina sota Tu it was too late.

Alipo kuja mkuu wa kituo pale makuyumi aliwasema Sana wale police kwanini alishindwa kuifwata Ile gari kubwa kumbe washa Kula Chao.

Msaada mkubwa ulitoka Kwa maderava wa magari makubwa. Hawa WA gari ndo walikua wanapita shwaaaa shwaaaaaaa shwaaaaa

Ilikua hivyo.
 
Back
Top Bottom