[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kitu niliwahi kula,kumbe ilichelewa kufika mjini haikuwa nzuri! Niliendesha mzigo wa kijani utafikiri mimi nilikula nyasi na si nyama ya nyati!
Ha ha kuna kejeli za reja reja tu😅 ila huwa zinachoma sana! Huwa nampa mtu anayejifanya chizi wakati yu hali timilifu!Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.
Kukupa shkamoo mtoto mwenzie wa miaka 20 ni haki yako kutokujibu.Hahaaa kwani unafikiri hata mimi nina mwili sana basi mie kafupi kanene. Na kuna watu wananidharaugi wanajuaga mie dogo kumbe kamtu kazima.
Mie kwangu salamu siyo dili hasa shkamoo, mdogo wangu wa mwisho kila tukionana ananisalimiaga shkamoo huwa sijibu marahaba na hajawahi kuacha. Ndiyo kwanza ananiulizaga hivi kwanini hupendi kujibu shkamoo akinisalimia shkamoo huwa najibu "vipi mzima dogo".
Hahaaa hata mimi nimepakuta, wanasema ni wale watu wa mwanzo kabisa kuhamishiwa Mbweni baada ya kuambiwa wahame Geza Ulole ya Kigamboni wakapewa maeneo Mbweni hivyo mtaa waliohamia nao wakauita Geza Ulole.Kwahio majina yooote mkaamua kuita uswazi yenu Geza!
Pole kwaoView attachment 2076989View attachment 2076989
Watu 14 wamefariki dunia baada ya ajali iliohusisha magari ya msafara wa mkuu wa mkoa na daladala Hiace
Basi hujamkuta kwenye anga zake.Halafu huwezi amini sijawahi kukufuma unatukanana na mtu humu jukwaani yale matusi ya nguoni kabisa kama wengi. Kwahiyo nashangaaga ni matusi gani hayo hadi unafungwa jela.
Bora Mpiji kuliko Geza Ulole aseeHahahahah na Mpiji paitweje?.[emoji28]
Chaliifrancisco irudie ile comment yako hapa🤣View attachment 2076989View attachment 2076989
Watu 14 wamefariki dunia baada ya ajali iliohusisha magari ya msafara wa mkuu wa mkoa na daladala Hiace
Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.Nilikua natoka Dom - Arusha.
Kufika makuyumi huwa Kuna kizuizi usiku kwajili ya magari makubwa kukaguliwa, gari ndogo zina pita.
Baada ya kizuizi kuna mizani hivyo magari makubwa yakitoka kukaguliwa huingia mizani alafu yanaendelea mbele uelekeo wa Arusha.
Kumbe kuna gari kubwa moja walipita pale kwenye kizuizi kimagumashi Kwa kutoa ela ya kiwi kwasababu gari Lao bovu sanaa.
Ghafla nikalikuta halina taa hata moja, halina reflector na linatoa Moshi mwingi Sana wakati huo chombo imesha kubali gear na upande wapili kuna chombo ingine iko mafuta Sana.
Option niliyo Kua Nazo za haraka ni kuigonga Kwa nyuma Ile gari mbovu, kuigonga Uso Kwa uso Ile gari ilyo Kua inatoka Arusha au kulimwaga porini.
Mind you hapo barabara iko juu porini ni chini na kuna wanyama.
Basi nikalitupa huko porini likapinduka mara mbili lakini kabla nilisha hangaika na brakes gari ikawa ina sota Tu it was too late.
Alipo kuja mkuu wa kituo pale makuyumi aliwasema Sana wale police kwanini alishindwa kuifwata Ile gari kubwa kumbe washa Kula Chao.
Msaada mkubwa ulitoka Kwa maderava wa magari makubwa. Hawa WA gari ndo walikua wanapita shwaaaa shwaaaaaaa shwaaaaa
Ilikua hivyo.
Nilisikia hata huko maeneo ya uswazi yaliwahi kuwepo. Sema wenye pesa zao wakanunua hayo maeneo kutoka kwa wazawa then wakajenga nyumba nzuri.Obay,Masaki,Upanga hazina uswazi.
Ilikuwa bado kidogo zipigwe sema ukabadili ID 😅Yes kama mimi mwanzo nilivyokuwaga nabishana kwenye lile jukwaa letu. Watu wengi walidhaniaga mie kauzu sizoeleki ila baadhi walivyonifahamu wakabaki tu "wewe mbona hufananii na yale unayoyaandika kule" nawaambiaga wakati mwingine tunachangamshaga genge tu sema watu wanacatch feelings.
Shkamoo Extrovert😅😅😅😅😅😅 hio salamu ni ya kishwayne sema huwa kulinda title lazma niitike.
Marhabaa totoo hujambo🤩S
Shkamoo Extrovert
Aahh ukifananisha na Mabatini ya Mbeya Geza Ulole kuzuri We. Uswahilini kwetu hatujakaa kinyonge sana kama uswahilini kwingine kama Temeke.Kwa hiyo huko ulole ni kama mabatini mabatini kimbeyambeya?
Hahahah hio Mistake huwa naepuka sana yani ku overtake kiboya bila kuona mbali, uupate mnyooko kama Wa Ruvu ule hapo naweza chomoa maana barabara ni tambarare nafasi ipo 😅😅😅Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.
Ni kweli kabisa watu wa malori ni watu wanajitoa sana kwenye majanga. Sisi wa magari madogo tunajiona tuna haraka zetu bila kujua kilomita chache mbele unaweza kuwa wewe unaehitaji msaada.
Habari za shule mamaaSijambo
Shkamoo🤗
Kwahiyo TMK ni kwa kinyonge?Aahh ukifananisha na Mabatini ya Mbeya Geza Ulole kuzuri We. Uswahilini kwetu hatujakaa kinyonge sana kama uswahilini kwingine kama Temeke.
Sisomi.Habari za shule mamaa