Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna watu wapo serious sana na maisha ya mitandaoni.
 
Cha kusikitisha wanakukuta umesimama taa za mbele kidogo!
Uko sahihi 100% [emoji1787][emoji1787] wananikuta taa za mbele

Mara chache sana nafanikiwa kuvuka kijani za mbele na wao wakifika wanakuta nyekundu. Ila most times nakuwa nawapa show tu na baadhi (hasa vijana) wakinikuta mbele wananigusia kahoni kidogo ka appreciation.

Mjini kuendesha haraka sio kufika haraka.
 
Petrol head.........
 
Ile ni vituo tu vya daladala! Tena vimefatana maana ni kama vitongoji tu au streets.

Dah, karibu sana uje mitaa ya huku.
Halafu nimegundua hii nchi kuna mitaa midogo ambayo ni maarufu kwetu wakazi ila haitambuliki kiserikali. Na kuna ile mitaa mikubwa ambayo ndiyo inatambulika kiserikali ambayo tunaweza dhani ni kata kumbe kiserikali ni mitaa.

Mfano hiyo Geza Ulole ya Mbweni, kiserikali haitambuliki. Inahesabika ni Mtaa wa Mbweni, Kata ya Mbweni, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, Nchi ya Tanzania, Bara la Afrika, Sayari ya Dunia, Galaxy ya Milky Way (joking).

Nilishangaa kumbe hata Ununio inahesabika ni mtaa ambao upo kwenye kata ya Kunduchi, wakati siku zote wengi tunajuaga Ununio ni kata inayojitegemea, mambo haya. Kuna wakazi wa Dar hadi leo bado wanajua Dar ina wilaya tatu.
 
Hahahahhaha humo utanipoteza kwenye tarafa sijui kata wilaya yani hapo civics haikufua dafu! Ni kama somo la tense kwenye kingereza!

Najua nikikosea tense haisound vizuri ila kuzichambua hizo tense ndio kipengele
 
Duuh Pole Sana Mkuu
 
Ilikuwa bado kidogo zipigwe sema ukabadili ID [emoji28]
Aahh ndiyo nikajua wanaume wengi wa jf mnajua kukasirika asee yaani nilikuwa naoga matusi kama yote. Na hapo mtu anakasirika na kukutukana hivyo hakufahamu wala hajui kama unavyoongea uko serious au unatania.

Mtu stress zake zote anaona aje kukumalizia wewe. Kubadili id mbona wengi walijua maana niliwaambia.
 
😅😅😅😅😅😅😅 sasa sahizi tulia nataka nije nitoe posa kwa Canali mzee Anganile hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…