Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukipata gari toka Germany andaa fungu la fine la kutosha. Na uandike wosia kabisa.
 
Basi nitaacha dear [emoji19][emoji19]

Ila hadi sasa nimeshawaahidi watu kama kumi hivi kuwa nitaacha maana wengi wanaonizunguka hawanywi hivyo pia hawapendi kuniona nakunywa. Ila hata sioni dalili za kuacha daah.
Sikutegemea kama unakunywa pombe.
Siku niliyoona dah! Nilisikitika mno...nikakuvutia picha jinsi ulivyo,unavyoongea,binti mdogo unafukia bia?!!
Bora uache aisee😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…