Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mtoto mzuri jamani usinifanyie hivyo 😅 nimeshaagiza na kasichana ka K-VantMzee wa kutambaa na fursa [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto mzuri jamani usinifanyie hivyo 😅 nimeshaagiza na kasichana ka K-VantMzee wa kutambaa na fursa [emoji38]
KabisaDooh kwani haupendi ninywe bia [emoji19][emoji19]
Hee😂😂😂Aahh we mtoto hayo maswali kawaulize mipango miji sasa [emoji38][emoji38]
Watoto wa andaeitini sasa mnaamkiana shkamoo za nini😂.Mfyuuu [emoji1787][emoji1787]
Siyo kujiamini,Dah kuna madereva Wanajiamini sana asee
Kwamba Tandika ni kubaya?Hahaa jamani sasa sehemu kama Tandika nako tuseme ni kuzuri
Ukipata gari toka Germany andaa fungu la fine la kutosha. Na uandike wosia kabisa.Uko sahihi 100% [emoji1787][emoji1787] wananikuta taa za mbele
Mara chache sana nafanikiwa kuvuka kijani za mbele na wao wakifika wanakuta nyekundu. Ila most times nakuwa nawapa show tu na baadhi (hasa vijana) wakinikuta mbele wananigusia kahoni kidogo ka appreciation.
Mjini kuendesha haraka sio kufika haraka.
Kubaya kama huku IsyesyeKwamba Tandika ni kubaya?
Isyesye kubaya?Kubaya kama huku IsyesyeView attachment 2077193
Haha pole we [emoji16][emoji16]Mtoto mzuri jamani usinifanyie hivyo [emoji28] nimeshaagiza na kasichana ka K-Vant
Basi nitaacha dear [emoji19][emoji19]Kabisa
Sipendi..basi tu sina namna.
Yeye ndiyo bado teenager, mwakani ndiyo tunamkaribisha kwenye Second floor.Watoto wa andaeitini sasa mnaamkiana shkamoo za nini[emoji23].
Nyie tuamkieni tu wakubwa.
Duuh umepita Isyesye ya wapi mkuu? Usije ukarudia tena kusema hivyo mbele za watu asee Isyesye ni moja ya sehemu za kishua kabisa kwa hapo Mbeya Mjini!Kubaya kama huku IsyesyeView attachment 2077193
Sikutegemea kama unakunywa pombe.Basi nitaacha dear [emoji19][emoji19]
Ila hadi sasa nimeshawaahidi watu kama kumi hivi kuwa nitaacha maana wengi wanaonizunguka hawanywi hivyo pia hawapendi kuniona nakunywa. Ila hata sioni dalili za kuacha daah.
Mchezo wenu huu we na Makiwendo wa kutuchomesha mahindi muacheHaha pole we [emoji16][emoji16]
We hujaacha kuchezea offer za wajuba eehSikutegemea kama unakunywa pombe.
Siku niliyoona dah! Nilisikitika mno...nikakuvutia picha jinsi ulivyo,unavyoongea,binti mdogo unafukia bia?!!
Bora uache aisee😒
Yaani mimi ninavyozipenda shkamoo ..ningekuwa na mdogo yaani angekuwa ananiamkia hadi basi.Yeye ndiyo bado teenager, mwakani ndiyo tunamkaribisha kwenye Second floor.
Sina offer yoyote siku hizi😂We hujaacha kuchezea offer za wajuba eeh
Nimekwambia njoo nikupe Smirn off hutakiSina offer yoyote siku hizi😂
ISO alisha give up
Hata mimi nimeshangaa aisee!Duuh umepita Isyesye ya wapi mkuu? Usije ukarudia tena kusema hivyo mbele za watu asee Isyesye ni moja ya sehemu za kishua kabisa kwa hapo Mbeya Mjini!