Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
😂Halafu humu wapi sijakosea njia kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296] nilijua selfika
Eeenh [emoji23][emoji23][emoji23] acha nileft[emoji23]
Tena muda si mrefu tutasimangwa hapa kuwa tunaharibu uzi.
Hakika [emoji1][emoji1]Tuendelee kulewa karma wangu
🤔Hakika [emoji1][emoji1]
Mie siku hizi nasalimia za saa hizi/za leo tu hata kama una Mvi mwili mzimaHao wanaolazimisha sasa ndio wanakera.
Yaani nikashangaa mtu amenipangia safari ya kunisimanga kisa skkumuamkia siku moja shkamoo...nikasema huyu hanijui.
[emoji85][emoji85][emoji85] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji848]
Yule mvi hana ,mtoto mdogo tu.Mie siku hizi nasalimia za saa hizi/za leo tu hata kama una Mvi mwili mzima
Kwahiyo upo upande gani?[emoji85][emoji85][emoji85] [emoji125][emoji125][emoji125]
Waswahili tunaona salamu ni dili sana! Hata ukipata shida hatutakusaidia kwa kisingizio kwamba hutusalimiagi!Yule mvi hana ,mtoto mdogo tu.
Yeye hajuagi kuanza kumsalimia mtu,,anataka asalimiwe muda wote..
Nikashangaa eti mtu ametengeneza bifu bila mimi kujua.
Nikakabufua na bifu lake kajinga.
Huu utakuwa upande wa Kulia nadhaniKwahiyo upo upande gani?
Angalia Oysterbay na Tandale. Moja ni uswahilini na ingine si uswahilini.Pengine tungeambiana uswazi kunamaanisha nini! Kwa Mzee Tambaza hadi mitaa ya kuelekea Muhimbili kutokea njia panda ya Diamond, pamekaa kiuswazi uswazi. Pale hadi kuna vigenge aisee! Ushuani huwezi kuta genge!
Risiti deal sana, Kuna wilaya Fulani tuliwahi kutafuta siku 3 risiti ya full tankNa nyie huwa mnauza risiti. Mara nyingi huwa wananiomba risiti zangu za full tank! Nawaambia gari ya Muhindi lazima niipeleke hii.
Kama nakuona ulivyokuwa unahahaRisiti deal sana, Kuna wilaya Fulani tuliwahi kutafuta siku 3 risiti ya full tank
Nunua maji yakijaa tutakutengenezea boti Unaingia nayo mpaka mlangoni.15 k kwa 1m²??
Ngoja nikatafute huko kiwanja..hata kama kuna maji.
Nilikwambia wateja wapo humu.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji3059]
Mungu akubariki sana mteja wetu mzurii.
Karibu tena ,jisikie upo nyumbani.
Kwa kweli..ndio nikamwambia siku nyingine inabidi uanze kusalimia mtu,,siyo yeye aanze kila siku.Waswahili tunaona salamu ni dili sana! Hata ukipata shida hatutakusaidia kwa kisingizio kwamba hutusalimiagi!
Kweli wateja wapo,wamekuja[emoji847][emoji847][emoji847]Nilikwambia wateja wapo humu.
Watakuja hutaamini.
Ngoja nifungue kijiwe cha car wash.
Wateja watakuwa wa humuhumu.
[emoji38][emoji38]Nunua maji yakijaa tutakutengenezea boti Unaingia nayo mpaka mlangoni.
[emoji1787][emoji1787]Huu utakuwa upande wa Kulia nadhani
😂😂😂 Passo umetokea kupishana nayo sana.Kama ni passo heri aiache tu.