Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama ni passo heri aiache tu.
😂😂😂 Passo umetokea kupishana nayo sana.

Ngoja Extrovert akupe shule ya gari za Toyopet,Aichi. Kuna Passo Sette hii Ina nafasi Kama uwanja wa Taifa mnapanda familia nzima na majirani.

Kuna Passo Racy hii sawa na Vits RS inakimbia ukitia full tank hata Crown hakukamati 😂😂😂
 
Back
Top Bottom