Hongera sana mkuu, ukawe dereva anayeendesha kwa kujihami.Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
😀😀😀Japan mkuu
Hongera sana mkuu. Hata ukiwa mjini Jenga tabia ya kufuata sheria za barabarani. Heshimu taa na vibao vyote. Wengi wanaopata shida highway ni kwasababu wanaingia na huko na tabia mbaya walizozoea mjini.Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Niwapi hapo?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji3059]
Mungu akubariki sana mteja wetu mzurii.
Karibu tena ,jisikie upo nyumbani.
Amin, lamba lami mkuu. Usalama kwanzaWakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Sijajua shift ya leo yupo nani.
Ntaku update [emoji1787]Sijajua shift ya leo yupo nani.
Nenda utazikuta nyingine kali[emoji847]
Mkuu🤣🤣🤣Baby walker fulani hivi😀😀😀😀
Siwezi weka full tank sheli hiyo hiyo mara kadhaa bila kuestablish connection mkuu, itakuwa waste of full tankDuh mkuu una connection!
Sawa🤗Ntaku update [emoji1787]
Njia ya mbezi kinyerezi.Niwapi hapo?
🤣🤣🤣Hamna kituo njia ya kaskazini na mimi niwe nawekewa na hizo pisi kali?😛😛