Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hongera sana mkuu
Umepiga hatua kubwa mno.


Na mimi niombee mwakani mida kama hii niwe hata na passo.
 
Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
 
Gari huwa inavuta upande mmoja.. nilisha endesha gari kama hiyo.. haufurahi kabisaa.. safari unaomba ufike. Mikono hai relax hata kidogo.. ukiacha kidogo sterling gari inaenda huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…