Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ameanza yeye😂Umeanza!
Mimi nimemalizia na salamu tu🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza yeye😂Umeanza!
113k kama skosei. By the time Narudi Dar itakuwa 116k.Hivi hilo chuma lako lina km ngapi sasa hivi?
Kituo kimejaa pisi tu.Nimejifunza....😀😀😀
Mh!...Kituo kimejaa pisi tu.
Ukiondoka mikono mitupu ni uzembe wako.
Tanga nitakuwepo mwezi wa tatu...nitapita hapo kujaza kidogo
Jana nimepita Kinyerezi nikaona gari kama yako.113k kama skosei. By the time Narudi Dar itakuwa 116k.
Maana Dar - Mafinga - Mbeya - Njombe - Dar
Kuna zile bills flani nadhani mnanielewa, right around this mileage kuna services zinanyonya hela balaa
Jirani shkamoo.Mh!...
Hongera sana mkuuWakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Na uniform za kijeshijeshi ndio huwa zinanikosha zaidi.Hii post imekuibua 😛😛
Nawe jirani, Salama jirani..itabidi uje jirani..Jirani shkamoo.
Heri ya mwaka mpya jirani...
Nitafutie kazi jirani huko mkoa wenu.
Hongera mkuu,umeopoa chombo chumaa.
Nifanyie mpango jiraniNawe jirani, Salama jirani..itabidi uje jirani..
Kweli kabisa..Hii post imekuibua 😛😛
Sawa jirani..Nifanyie mpango jirani
Gari huwa inavuta upande mmoja.. nilisha endesha gari kama hiyo.. haufurahi kabisaa.. safari unaomba ufike. Mikono hai relax hata kidogo.. ukiacha kidogo sterling gari inaenda hukoHivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert