Kwetu Africa na Hasa tanzania izo gari za full umeme bado tuna safari ndefu.. Hybrid sawa nayo uipate haijatumika sana.. ukikuta betry lake linaelekea kufa ni kazo bureInaweza kuwa imeisha charge na wakati huo umeme umekatika! 😛😛😛
Best option ni Hybrid
Issue battery ikifa inakuwaje? Isije kuwa bei juu kuliko gariKwetu Africa na Hasa tanzania izo gari za full umeme bado tuna safari ndefu.. Hybrid sawa nayo uipate haijatumika sana.. ukikuta betry lake linaelekea kufa ni kazo bure
Wadau wanasema bei zake ni motoo sanaa.. 😂😂😂😂 inabidi ujipange.. mie nitaendelea na mwarabu maana ndio uhakika.. ulaya acha wajipige stop ili tuanze mililiki ndiga kali zile W16, V12 pamoja na V10 za kima marekani na kwingineko huko 😁😁😁Issue battery ikifa inakuwaje? Isije kuwa bei juu kuliko gari
Itakuwa milion 3 tu si zaidi ya hapo😅Ingekuwa hivyo maisha yangekuwa simple. Wenzetu kuna charging port street. Charger yake bei gani?
Hamna battery nzuri sana tu sababu zimetengenezwa ku last a million miles! Kabla hazija deplete to 80%Issue battery ikifa inakuwaje? Isije kuwa bei juu kuliko gari
Moshi na Arusha December na January kuna gari za kila ainaJamani juzi Moshi nimeona Harrier Anaconda hybrid ya 2021 kuna watu jeuri sana humu mjini
Hio sio imara mbovuuHaya mambo ndio mafundi wetu hawayataki.. 😀😀😀
JituMirabaMinne
RRONDO
mtongwe Extrovert ISO M.CodD View attachment 2079535
We sema safari ndefu mpaka ambapo mtoto wa Bhakressa atalikurupua toka Masaki hapo😅 ubaki Taya waziKwetu Africa na Hasa tanzania izo gari za full umeme bado tuna safari ndefu.. Hybrid sawa nayo uipate haijatumika sana.. ukikuta betry lake linaelekea kufa ni kazo bure
kuifungua kwenye gari kuna hitaji akili iwe imechangamkaa 😂😂😂Hio sio imara mbovuu
We sema safari ndefu mpaka ambapo mtoto wa Bhakressa atalikurupua toka Masaki hapo😅 ubaki Taya wazi
Ingekuwa hivyo maisha yangekuwa simple. Wenzetu kuna charging port street. Charger yake bei gani?
Mkuu charging plant si unakuwa nayo home?😅mikoani huko atachajizishia nini.. gari ya umeme kama upo stationary.. ila huko kigoma utajua hujui
Home inakuwa ina hamaa au ni stationary? ipo dar plant.. unasafiri na gari unaenda mpandaa.. utafanyaje huko.. hizo gari bado sio rafiki Tanzania.. kuanzia level yetu ya ufundi na technology.. ila one day yesMkuu charging plant si unakuwa nayo home?😅
Gari hio ya mjini bana sio ya kuendea mashambani Mpanda! Gari ya kulia kuku town Dar-Moro au Dar-Tanga inatosha!Home inakuwa ina hamaa au ni stationary? ipo dar plant.. unasafiri na gari unaenda mpandaa.. utafanyaje huko.. hizo gari bado sio rafiki Tanzania.. kuanzia level yetu ya ufundi na technology.. ila one day yes
Hiyo matumizi mabaya ya nguvu za gari, hiyo inatakiwa ikishuka tu pale bandari inacheua paka geita kwanzaa.. mwanzo mwisho una wawashia indicator.. 😀😀😀😀Gari hio ya mjini bana sio ya kuendea mashambani Mpanda! Gari ya kulia kuku town Dar-Moro au Dar-Tanga inatosha!
Hahahahahah zikitoka za 10,000 range ndio mtaweza kwenda nazo huko mbali hivyo!Hiyo matumizi mabaya ya nguvu za gari, hiyo inatakiwa ikishuka tu pale bandari inacheua paka geita kwanzaa.. mwanzo mwisho una wawashia indicator.. 😀😀😀😀
hiyo ya kikuda haifai.. acha ulaya wazipige marufuku hizo gari za petrol.. watuuzie bei chee huku africa.. hapo unavuta li W16.. 😀😀😀Hahahahahah zikitoka za 10,000 range ndio mtaweza kwenda nazo huko mbali hivyo!
Kwa sasa Dar -Moro ni 1.5hrs on full charge!
TRA watawaua na hizo V12 wala hawawazi😅 mie sihangaiki na sheli tena nitakuwa naazima kwako za kusafiria ila mjini ni mtafutano tu😅hiyo ya kikuda haifai.. acha ulaya wazipige marufuku hizo gari za petrol.. watuuzie bei chee huku africa.. hapo unavuta li W16.. 😀😀😀