Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Issue battery ikifa inakuwaje? Isije kuwa bei juu kuliko gari
Wadau wanasema bei zake ni motoo sanaa.. 😂😂😂😂 inabidi ujipange.. mie nitaendelea na mwarabu maana ndio uhakika.. ulaya acha wajipige stop ili tuanze mililiki ndiga kali zile W16, V12 pamoja na V10 za kima marekani na kwingineko huko 😁😁😁
 
Issue battery ikifa inakuwaje? Isije kuwa bei juu kuliko gari
Hamna battery nzuri sana tu sababu zimetengenezwa ku last a million miles! Kabla hazija deplete to 80%

Kwa uendeshaji wa kibongo kuzipata 200K kilometres ni zaidi ya 5 yrs gari lazma ulibadilishe bado unakuwa umeacha lina extra 800,000kms za kuendesha. Battery bado inakuwa nzima tu sana.
 
Haya mambo ndio mafundi wetu hawayataki.. 😀😀😀
JituMirabaMinne
RRONDO
mtongwe Extrovert ISO M.CodD
BK682838_a85a15_edit_96187732168655.jpg
 
Home inakuwa ina hamaa au ni stationary? ipo dar plant.. unasafiri na gari unaenda mpandaa.. utafanyaje huko.. hizo gari bado sio rafiki Tanzania.. kuanzia level yetu ya ufundi na technology.. ila one day yes
Gari hio ya mjini bana sio ya kuendea mashambani Mpanda! Gari ya kulia kuku town Dar-Moro au Dar-Tanga inatosha!
 
Back
Top Bottom