Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Natest maji mzee.

Ikinishinda itakuwa ya kwenda kanisani.

Napenda kale kamuonekano ka mbele.

Ndo maana nika specify ya 2014.


View attachment 2079734
Nimeicheki, ni proper merc grille. Inavutia. Jirani yangu ana 2011 E350, namwonaga anavyohenya kunegotiate barabara mbovu ya huku kitaa. Mita kama 200 tu kutoka lami ila ni mtiti haswa. Anatoka nalo mara moja moja sana, siku nyingine anatumia probox. Nadhani hayo ndio matumizi sahihi ya gari kama hizo.

Ukikaa humo mzee lazima utaijua idadi na aina ya matuta yote kwenye njia unazotumia. Kuna aina ya matuta yanagusisha gari chini na matuta mengine ni safe kuyapanda straight on. Usiwakasirikie tu makandarasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…