Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna siku boda boda alinibutua nyuma akapasua na taaa.. kushuka na kumuangalia nikasema acha niondoke tu, unaweza jikuta unazua mengine.. watu hawana ustaarabu road , hasa maguta, boda boda na hata bajaji.. ila tuishi nao tu[emoji3][emoji3]
Aiseee hakuna watu wanakera kama boda boda barabarani daaah
 
Wanazingua sanaa.. na unakuta hana cha ku replace.. ndio maana nikija kuwa na hela nyingi sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nakuwa na escort gari yangu inakaa kati kati.. Fun [emoji23][emoji23]
Acha tu, anaweza akaingia tu Road ghafla na vile vi sendo Vyao katawanya miguu..Usiku mara akupige full usoni..
 
Wanazingua sanaa.. na unakuta hana cha ku replace.. ndio maana nikija kuwa na hela nyingi sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nakuwa na escort gari yangu inakaa kati kati.. Fun [emoji23][emoji23]
Hahaa kwa sasa weka ngao tu mkuu kupunguza hizo kadhia ndogo ndogo. Ila ndiyo ukubali kuwa gari yako itatoka kwenye kinyang'anyiro cha kulook handsome.
 
Binadamu wa siku hizi wamekuwa delicate kama kasha la yai....unaweza kumpiga mtu kibao, ukashangaa amenyoosha miguu, ndiyo kaaga dunia hivyo .
Na wanaume wengi wanaoshambulia pale wanaookwaruzwa, mara nyingi unakuta kagari ni kapya, au amepakia msichana pembeni ..hivyo anatumia fursa hiyo kumuonyesha yule msichana kuwa naye ni mbabe....

Wakati mwingingine, ni bora kujidai mjinga, maisha yaendelee
 
Sure mkuu watu wanatakaga tu kujitutumua lakini ukweli ni kwamba hata uwe na roho ngumu kiasi gani kutoa roho ya binadamu mwenzio siyo kitu kidogo. Ile guilt lazima itakutafuna moyoni milele hata usipoonesha hilo mbele za watu.
 
Ndiyo maana naogopa sana ugomvi wa kurushiana ngumi...siwezi...
Mara ya mwisho kupigana nilikuwa class five..[emoji28][emoji28]

Siku moja nimekaa mahali nikaona dereva wa daladala ameparua IST ya mjeda bampa la mbele.....aisee yule dereva alichochewa ngumi..[emoji28][emoji28]

Na bado mwisho wa siku wakaongea na kufidiana gharama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…