Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Pole.Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Mwanzo wa kila hatua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole.Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Yeah ni kuwa makini tu mkuu. Maana ukiumiza mtu mambo yanakuwa mengine.Polee, hapa nawaza ningemuumiza mtu ingekuwaje? natakiwa kua makini zaidi
Hehe itoshe tu kusema hayo ndiyo tunayoyajua sisi mkuu [emoji4][emoji4]Mapato toka Tourism.
2019 yalikuwa $2.6bn.
2018 yalikuwa $2.4bn, tourists walikuwa 1.5mn.
2017 yalikuwa $2.2bn, tourists walikuwa 1.3mn.
2016 yalikuwa 2.1bn, tourists walikuwa 1.28mn.
Source: Bank of Tanzania
Aiseee hakuna watu wanakera kama boda boda barabarani daaahKuna siku boda boda alinibutua nyuma akapasua na taaa.. kushuka na kumuangalia nikasema acha niondoke tu, unaweza jikuta unazua mengine.. watu hawana ustaarabu road , hasa maguta, boda boda na hata bajaji.. ila tuishi nao tu[emoji3][emoji3]
Wanazingua sanaa.. na unakuta hana cha ku replace.. ndio maana nikija kuwa na hela nyingi sanaaa 😂😂😂 nakuwa na escort gari yangu inakaa kati kati.. Fun 😂😂Aiseee hakuna watu wanakera kama boda boda barabarani daaah
Duuu pole sana Mkuu, Shida ni nini au unaogopa sana?Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Acha tu, anaweza akaingia tu Road ghafla na vile vi sendo Vyao katawanya miguu..Usiku mara akupige full usoni..Wanazingua sanaa.. na unakuta hana cha ku replace.. ndio maana nikija kuwa na hela nyingi sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nakuwa na escort gari yangu inakaa kati kati.. Fun [emoji23][emoji23]
, 😂😂😂 boda wenye visendo au vindala kaaa nao mbalii sanaaaaAcha tu, anaweza akaingia tu Road ghafla na vile vi sendo Vyao katawanya miguu..Usiku mara akupige full usoni..
Hahaa kwa sasa weka ngao tu mkuu kupunguza hizo kadhia ndogo ndogo. Ila ndiyo ukubali kuwa gari yako itatoka kwenye kinyang'anyiro cha kulook handsome.Wanazingua sanaa.. na unakuta hana cha ku replace.. ndio maana nikija kuwa na hela nyingi sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nakuwa na escort gari yangu inakaa kati kati.. Fun [emoji23][emoji23]
🙄🙄 Ngao tena.. ni kuchagua tu njia kama gari imeng'aaa.. gari za route ya masaki posta huwa unaona zina mangeo ngeo 😂😂😂Hahaa kwa sasa weka ngao tu mkuu kupunguza hizo kadhia ndogo ndogo. Ila ndiyo ukubali kuwa gari yako itatoka kwenye kinyang'anyiro cha kulook handsome.
Binadamu wa siku hizi wamekuwa delicate kama kasha la yai....unaweza kumpiga mtu kibao, ukashangaa amenyoosha miguu, ndiyo kaaga dunia hivyo .Haha usikute ndiyo wale aliokuwa anawasemea 9.8ms squared kwamba akipindua IST tu anachanganyikiwa. Sasa mtu kama huyo umkute kajichanga kavuta zake BMW halafu ujichanganye ukamgonge weee huwa wanasahau kabisa kwamba haya mambo ni ya kibinadamu tu na kuna leo na kesho. [emoji3][emoji3]
Zipu za watu zimebana huku..Mshindo ni kitendo cha uume kishindilia uke hatua kwa hatua huku mwendo, sauti na mapigo ya moyo vikiongezeka kadri muda unavyokwenda...
Niendelee lekcha 2!!!!!?[emoji2957]
Duh pole sana mkuu.Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2086939View attachment 2086940View attachment 2086941
Sure mkuu watu wanatakaga tu kujitutumua lakini ukweli ni kwamba hata uwe na roho ngumu kiasi gani kutoa roho ya binadamu mwenzio siyo kitu kidogo. Ile guilt lazima itakutafuna moyoni milele hata usipoonesha hilo mbele za watu.Binadamu wa siku hizi wamekuwa delicate kama kasha la yai....unaweza kumpiga mtu kibao, ukashangaa amenyoosha miguu, ndiyo kaaga dunia hivyo .
Na wanaume wengi wanaoshambulia pale wanaookwaruzwa, mara nyingi unakuta kagari ni kapya, au amepakia msichana pembeni ..hivyo anatumia fursa hiyo kumuonyesha yule msichana kuwa naye ni mbabe....
Wakati mwingingine, ni bora kujidai mjinga, maisha yaendelee
Ndiyo maana naogopa sana ugomvi wa kurushiana ngumi...siwezi...Sure mkuu watu wanatakaga tu kujitutumua lakini ukweli ni kwamba hata uwe na roho ngumu kiasi gani kutoa roho ya binadamu mwenzio siyo kitu kidogo. Ile guilt lazima itakutafuna moyoni milele hata usipoonesha hilo mbele za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2086939View attachment 2086940View attachment 2086941