Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kinachouma ni kwamba original spare parts nnazonunua pale mastercard kwa pesa nyingi sana ndio the exact same part numbers za kwenye infiniti.

Mpaka vitabu vya magari zile manual ni zile zile

Mpaka service schedules, hata youtube videos ukiona ni the same exact part, meaning fugas can handle 260 freshi tu.

Yet nimelimitiwa 180

Afu mtu ananiambia sijui nikifika 150 gari inaacha lami, mara haijawa designed for speeds more than 180, nawaangalia nasema hiiii [emoji1787][emoji1787]

Ni sheria tu za japan domestic market kuwa ukitengenezea gari japan lazima uilimit electronically to 180kmph na 280hp

Otherwise tungeheshimiana, maana stability ni ile ile sawa na european / american counterparts. Hii ni tofauti na gari nyingine ambazo euro versions zinatofautiana hadi parts.

Kuna wajapani na wajapani, natamani siku niendeshe mjerumani nione hiyo stability inayozungumziwa ambayo possibly siipati kwenye mjapani huyu, na mjerumani mweusi wa humu mmoja akae kwenye fuga aniambie kuna kasoro gani?
 
Nissan sio Sawa na Toyota. Nissan inatulia barabarani sio kama Toyota.
 
Nissan sio Sawa na Toyota. Nissan inatulia barabarani sio kama Toyota.
Toyota version zake za us/uk zinatofautiana suspension parts na version zake za jdm. Na stability ipo kwenye hizi suspension components.

Huwezi compare mjapani Harrier anayebadilisha bearing kwa 80k na the mighty fuga ambaye anaomba 500k for a single wheel hub. Hakuna bearing pressing. Huyu mwamba ball joint yake iko ndani ya lower wishbone arm, so ikifa unabadili mkono mzima, na price ya mmoja wa mbele ni 600k kwa kulia lia tena. US wananunua $275 the same part number

Kuna wajapani ambao kuwa maintain properly is just as expensive as wajerumani. Ni hii limiter tu.

Ila acheni limiter iwepo maana wengine akili zetu tunajijua
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Toyota ni Toyota. Ni sawa na VW ni VW hata iwe Polo ina VW feel. Nashukuru Mungu nishaendesha Toyota, Nissan,Mitsubishi to their limits kwahio najua ninachoongea. On the other hand nimeendesha BMW,MB,VW,Audi,RR,Volvo,Citroen,Pijo na nyingine kwenye kundi hili nimeishi nazo. Kuna tofauti ndugu yangu from handling to braking. Tafuta mtu usafiri nae mwenye hizo gari utanielewa otherwise huwezi kuelewa. Na angalia usije kurudi safari ukaagiza ya kwako.
 
Unajua watu hawaelewi nini tunaongea.. Ukikaa kwa mzungu ukirudi kuendesha gari ya Mjapan kuna a taste utaimiss tu...
 
Akiyanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samahanini,ni stori ya kuhuzunisha ila imenichekesha somehow[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.

Ninachoshukuru mtu aliyekuwa amemshikilia yule ng'ombe alipoona nimepoteza muelekeo akaruka pembeni akamuacha ng'ombe wake. Vinginevyo yangekuwa mengine.

Hapo ndo nimetoka zangu driving school kujifunza Manual kama leo then kesho yake nikachukua Automatic nikaingia barabarani. Nikajikuta Michael Schumacher huyu hapa hihiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…