Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mengi yasiwe mambo nisije kufa njaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini lakini?
Nazungusha barafu hapa Kimara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengi yasiwe mambo nisije kufa njaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini lakini?
😁😀😀pole sana mwamba.Hongera sana, leo mimi siku ya kwanza kuendesha mwenyewe nimegonga mara mbili
Ila mkuu naamini ulivyofika ulifikiri upya suala la kumiliki European car hahahaha..Exactly tulikuwa ni sisi na vanguard Nyeupe ingawa tulikuwa wabishi dhidi yenu but mlitutesa japo tuliwabishia Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake kama mama aliyosemaIla mkuu naamini ulivyofika ulifikiri upya suala la kumiliki European car hahahaha..
Sasa sisi tulikuwa tunatembea 180km/hr very comfortably..
Hahahahaha Mkuu hamieni huku hamtojutia...Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake kama mama aliyosema
Tuacheni tujikokote 120 na vijapani vyetu vinavyopea pea, msitunyanyase [emoji1787]
Nimekupata bossSubaru Legacy dah tulienda Lushoto kumzika Kamanda Mohamedi Mtoi nikiwa na Kaka yangu MANI kwa masaa matatu na dakika 45....
Nissan sio Sawa na Toyota. Nissan inatulia barabarani sio kama Toyota.Kinachouma ni kwamba original spare parts nnazonunua pale mastercard kwa pesa nyingi sana ndio the exact same part numbers za kwenye infiniti.
Mpaka vitabu vya magari zile manual ni zile zile
Mpaka service schedules, hata youtube videos ukiona ni the same exact part, meaning fugas can handle 260 freshi tu.
Yet nimelimitiwa 180
Afu mtu ananiambia sijui nikifika 150 gari inaacha lami, mara haijawa designed for speeds more than 180, nawaangalia nasema hiiii [emoji1787][emoji1787]
Ni sheria tu za japan domestic market kuwa ukitengenezea gari japan lazima uilimit electronically to 180kmph na 280hp
Otherwise tungeheshimiana, maana stability ni ile ile sawa na european / american counterparts. Hii ni tofauti na gari nyingine ambazo euro versions zinatofautiana hadi parts.
Kuna wajapani na wajapani, natamani siku niendeshe mjerumani nione hiyo stability inayozungumziwa ambayo possibly siipati kwenye mjapani huyu, na mjerumani mweusi wa humu mmoja akae kwenye fuga aniambie kuna kasoro gani?
Toyota version zake za us/uk zinatofautiana suspension parts na version zake za jdm. Na stability ipo kwenye hizi suspension components.Nissan sio Sawa na Toyota. Nissan inatulia barabarani sio kama Toyota.
Ndio ukubwa wenyewe huoAsante
Mkuu mimi my next project nataka VW Amarok kwa off road. Unanishaurije??Nataka nirudi BMW from VW. 5series F10 ndio chaguo ila TRA wamekomaa sana.
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Toyota ni Toyota. Ni sawa na VW ni VW hata iwe Polo ina VW feel. Nashukuru Mungu nishaendesha Toyota, Nissan,Mitsubishi to their limits kwahio najua ninachoongea. On the other hand nimeendesha BMW,MB,VW,Audi,RR,Volvo,Citroen,Pijo na nyingine kwenye kundi hili nimeishi nazo. Kuna tofauti ndugu yangu from handling to braking. Tafuta mtu usafiri nae mwenye hizo gari utanielewa otherwise huwezi kuelewa. Na angalia usije kurudi safari ukaagiza ya kwako.Toyota version zake za us/uk zinatofautiana suspension parts na version zake za jdm. Na stability ipo kwenye hizi suspension components.
Huwezi compare mjapani Harrier anayebadilisha bearing kwa 80k na the mighty fuga ambaye anaomba 500k for a single wheel hub. Hakuna bearing pressing. Huyu mwamba ball joint yake iko ndani ya lower wishbone arm, so ikifa unabadili mkono mzima, na price ya mmoja wa mbele ni 600k kwa kulia lia tena. US wananunua $275 the same part number
Kuna wajapani ambao kuwa maintain properly is just as expensive as wajerumani. Ni hii limiter tu.
Ila acheni limiter iwepo maana wengine akili zetu tunajijua
Amarok iko sawa. Kuna 3.0 V6 TDi hakuna mbuzi itakusumbua barabarani.Mkuu mimi my next project nataka VW Amarok kwa off road. Unanishaurije??
Hili la ushuru wengi linatunyima sana raha, kuna kila sababu sasa ya kulipigia kelele kwa nguvu zote.
Unajua watu hawaelewi nini tunaongea.. Ukikaa kwa mzungu ukirudi kuendesha gari ya Mjapan kuna a taste utaimiss tu...Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Toyota ni Toyota. Ni sawa na VW ni VW hata iwe Polo ina VW feel. Nashukuru Mungu nishaendesha Toyota, Nissan,Mitsubishi to their limits kwahio najua ninachoongea. On the other hand nimeendesha BMW,MB,VW,Audi,RR,Volvo,Citroen,Pijo na nyingine kwenye kundi hili nimeishi nazo. Kuna tofauti ndugu yangu from handling to braking. Tafuta mtu usafiri nae mwenye hizo gari utanielewa otherwise huwezi kuelewa. Na angalia usije kurudi safari ukaagiza ya kwako.
Ngoja tukimbizane na uchumi wa kati tutafika tuAmarok iko sawa. Kuna 3.0 V6 TDi hakuna mbuzi itakusumbua barabarani.
Gari hii 17m Hadi Tz, ushuru 34m unatoka wapi? Mara mbili ya bei ya gari?!!Mkuu mimi my next project nataka VW Amarok kwa off road. Unanishaurije??
Hili la ushuru wengi linatunyima sana raha, kuna kila sababu sasa ya kulipigia kelele kwa nguvu zote.
Hahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.Akiyanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samahanini,ni stori ya kuhuzunisha ila imenichekesha somehow[emoji23][emoji23][emoji23]