Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
😂😂😂😂😂😂poleHahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.
Ninachoshukuru mtu aliyekuwa amemshikilia yule ng'ombe alipoona nimepoteza muelekeo akaruka pembeni akamuacha ng'ombe wake. Vinginevyo yangekuwa mengine.
Hapo ndo nimetoka zangu driving school kujifunza Manual kama leo then kesho yake nikachukua Automatic nikaingia barabarani. Nikajikuta Michael Schumacher huyu hapa hihiiiii.
Ng'ombe bana, nikisafiri unakuta gari imekolea halafu wapo pembeni wanakula majani huwa najiuliza hawa ng;ombe wakiamua kuvuka hapa patatosha kweli?!!Hahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.
Ninachoshukuru mtu aliyekuwa amemshikilia yule ng'ombe alipoona nimepoteza muelekeo akaruka pembeni akamuacha ng'ombe wake. Vinginevyo yangekuwa mengine.
Hapo ndo nimetoka zangu driving school kujifunza Manual kama leo then kesho yake nikachukua Automatic nikaingia barabarani. Nikajikuta Michael Schumacher huyu hapa hihiiiii.
HihiiiiHahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.
Ninachoshukuru mtu aliyekuwa amemshikilia yule ng'ombe alipoona nimepoteza muelekeo akaruka pembeni akamuacha ng'ombe wake. Vinginevyo yangekuwa mengine.
Hapo ndo nimetoka zangu driving school kujifunza Manual kama leo then kesho yake nikachukua Automatic nikaingia barabarani. Nikajikuta Michael Schumacher huyu hapa hihiiiii.
Mbona juzi nimetoka kukimbizana na Discovery 3 hapa Makambako mpaka Igawa nikaliona zito sana, au sio 3.0V6 TDiAmarok iko sawa. Kuna 3.0 V6 TDi hakuna mbuzi itakusumbua barabarani.
Naamini umeshapata motivation ya kuhamia hata Infiniti.Kinachouma ni kwamba original spare parts nnazonunua pale mastercard kwa pesa nyingi sana ndio the exact same part numbers za kwenye infiniti.
Mpaka vitabu vya magari zile manual ni zile zile
Mpaka service schedules, hata youtube videos ukiona ni the same exact part, meaning fugas can handle 260 freshi tu.
Yet nimelimitiwa 180
Afu mtu ananiambia sijui nikifika 150 gari inaacha lami, mara haijawa designed for speeds more than 180, nawaangalia nasema hiiii [emoji1787][emoji1787]
Ni sheria tu za japan domestic market kuwa ukitengenezea gari japan lazima uilimit electronically to 180kmph na 280hp
Otherwise tungeheshimiana, maana stability ni ile ile sawa na european / american counterparts. Hii ni tofauti na gari nyingine ambazo euro versions zinatofautiana hadi parts.
Kuna wajapani na wajapani, natamani siku niendeshe mjerumani nione hiyo stability inayozungumziwa ambayo possibly siipati kwenye mjapani huyu, na mjerumani mweusi wa humu mmoja akae kwenye fuga aniambie kuna kasoro gani?
Hili dude ni 2L? Mjerumani anakamua a lot of power out of little engines aseeGari hii 17m Hadi Tz, ushuru 34m unatoka wapi? Mara mbili ya bei ya gari?!!
View attachment 2089464View attachment 2089465
Kuna watu nawaambia kila mara, spare OG za Toyota zinakimbizana na za wajerumani wanakaza shingo.Toyota version zake za us/uk zinatofautiana suspension parts na version zake za jdm. Na stability ipo kwenye hizi suspension components.
Huwezi compare mjapani Harrier anayebadilisha bearing kwa 80k na the mighty fuga ambaye anaomba 500k for a single wheel hub. Hakuna bearing pressing. Huyu mwamba ball joint yake iko ndani ya lower wishbone arm, so ikifa unabadili mkono mzima, na price ya mmoja wa mbele ni 600k kwa kulia lia tena. US wananunua $275 the same part number
Kuna wajapani ambao kuwa maintain properly is just as expensive as wajerumani. Ni hii limiter tu.
Ila acheni limiter iwepo maana wengine akili zetu tunajijua
Sana. Mkoloni namwogopa tu nisije nikaingia maporini huko akanifia kisa small electrical issue. Ila mjapani wa Europe is my next step from here, lazima nimiliki.Naamini umeshapata motivation ya kuhamia hata Infiniti.
Nissan ukifunga spare siyo OG hutembei nayo, gari inaikataa, spare ukiyofunga inakufa tena. Ukifunga OG unasahau. Mpaka kwenye vitu vidogo kama fan belt, ukifunga famba baada ya mwezi inakatika tena.Kuna watu nawaambia kila mara, spare OG za Toyota zinakimbizana na za wajerumani wanakaza shingo.
Wengi wamezoea used za used ndo wanaona unafuu.
Goodluck mate.Sana. Mkoloni namwogopa tu nisije nikaingia maporini huko akanifia kisa small electrical issue. Ila mjapani wa Europe is my next step from here, lazima nimiliki.
Mkuu kuna mbuzi washakata kamba wanakula kuzidi urefu wa kamba zao [emoji2][emoji2]Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake kama mama aliyosema
Tuacheni tujikokote 120 na vijapani vyetu vinavyopea pea, msitunyanyase [emoji1787]
Basi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirikaDisco 3/4 TDi hazina mwendo. Hio Amarok 3.0TDi achana nayo. Halafu usisahau wewe pia una 3500cc sio ndogo hizo.
Wanakula uwanja mzima?Mkuu kuna mbuzi washakata kamba wanakula kuzidi urefu wa kamba zao [emoji2][emoji2]
Kwa barabara za TZ mwendo wa juu mara nyingi ni 160-180kph kwa gari yako hio unasimama na mtu yeyote. Mimi mwenyewe nikikuta gari kama yako sikurupuki namfukuza kimya kimya la sivyo naweza kumpa sifa 😀😀😀😀😀Basi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirika
Akavimba bichwa [emoji1787][emoji1787]Kwa barabara za TZ mwendo wa juu mara nyingi ni 160-180kph kwa gari yako hio unasimama na mtu yeyote. Mimi mwenyewe nikikuta gari kama yako sikurupuki namfukuza kimya kimya la sivyo naweza kumpa sifa 😀😀😀😀😀