Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
😂😂😂😂😂😂poleHahaaa wengi niliowasimulia walikuwa wanacheka. Wengine baada ya siku kadhaa wakawa wananiuliza kiutani eti vipi ng'ombe wetu anaendeleaje.
Ninachoshukuru mtu aliyekuwa amemshikilia yule ng'ombe alipoona nimepoteza muelekeo akaruka pembeni akamuacha ng'ombe wake. Vinginevyo yangekuwa mengine.
Hapo ndo nimetoka zangu driving school kujifunza Manual kama leo then kesho yake nikachukua Automatic nikaingia barabarani. Nikajikuta Michael Schumacher huyu hapa hihiiiii.
Nimecheka sana🤣