Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ushaendesha haya:
1. Vauxhall Insignia?
2. Saab 9-3 na 9-5?

 
Siku hizi mkuu mtu anaendesha gari tatu, boda boda mbili kushoto na boda boda nyingine mbili kulia.....Kuna wakati inafika ujuta kuishi Hapa Tanganyika..
Sure mkuu wenzetu kule wanazienjoy gari zao hata ligi zao wanazifanya kwa raha

Siyo sisi huku mtu unaweza kuwa na gari speedometer imeshiba kitu 300kph ila hakuna sehemu utamaliza kisahani kwa raha for atleast 10 minutes straight

Wenzetu highways zao ni njia 4-8 na lanes zimetenganishwa mtu unaovertake kwa raha huna hofu ya kuchungulia kama kuna gari inakuja mbele we unafocus zako kwenye ligi tu
 
Hatari sana mkuu huwa nawaonaga wadogo kiumbo kuliko ng'ombe kumbe ndiyo wazito kiasi hicho. No wonder wao ndiyo hutumika zaidi kwenye kubeba mamizigo mazito.
 
Kama Samson alivyopigana na jeshi la watu 1000 kwa taya ya punda. Binadanu tungekuwa kama punda pengine idadi ya vifo vitokanavyo na ajali ingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Maeneo ya mtera muhimu kuwa makini nishamkuta punda katikati ya road night kaganda wala hastuki ikabidi nimkwepe tu!
Mbweni wamejaa sana wenyeji wanawatumiaga kuvuta mikokoteni yenye mizigo inayoshushwa kwenye kile kibandari chao kutoka visiwani. Sema bahati nzuri wanakuwaga na watu wanawachunga ila vinginevyo tungeumia wengi maana kupishana nao barabarani ni kawaida hivyo inabidi uwe mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…