Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Toyota ni Toyota. Ni sawa na VW ni VW hata iwe Polo ina VW feel. Nashukuru Mungu nishaendesha Toyota, Nissan,Mitsubishi to their limits kwahio najua ninachoongea. On the other hand nimeendesha BMW,MB,VW,Audi,RR,Volvo,Citroen,Pijo na nyingine kwenye kundi hili nimeishi nazo. Kuna tofauti ndugu yangu from handling to braking. Tafuta mtu usafiri nae mwenye hizo gari utanielewa otherwise huwezi kuelewa. Na angalia usije kurudi safari ukaagiza ya kwako.
Ushaendesha haya:
1. Vauxhall Insignia?
2. Saab 9-3 na 9-5?

 
Hiyo Saab nimewahi kutana nayo Zambia inaunguruma kama simba ingawa haina facelift nzuri imekaa kibabe.
Ipi kati ya hizi?

2BE43A44-4B00-4E74-AF45-325EBA84A308.jpeg


57FA0B32-1A04-4001-8F33-984D63F522BE.jpeg
 
Siku hizi mkuu mtu anaendesha gari tatu, boda boda mbili kushoto na boda boda nyingine mbili kulia.....Kuna wakati inafika ujuta kuishi Hapa Tanganyika..
Sure mkuu wenzetu kule wanazienjoy gari zao hata ligi zao wanazifanya kwa raha

Siyo sisi huku mtu unaweza kuwa na gari speedometer imeshiba kitu 300kph ila hakuna sehemu utamaliza kisahani kwa raha for atleast 10 minutes straight

Wenzetu highways zao ni njia 4-8 na lanes zimetenganishwa mtu unaovertake kwa raha huna hofu ya kuchungulia kama kuna gari inakuja mbele we unafocus zako kwenye ligi tu
 
Mtu akipata ajali huwa namsikitikia sana...
Lakini kuna ajali zinachekesha ., Nikisikia mtu kagonga ng'ombe, punda au mkokoteni huwa najisikia kucheka sana..[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]

Na punda ukimgonga na kigari kidogo, anajipukuta vumbi anaendelea kula majani, wewe unaenda garage..[emoji1787][emoji1787]
Hatari sana mkuu huwa nawaonaga wadogo kiumbo kuliko ng'ombe kumbe ndiyo wazito kiasi hicho. No wonder wao ndiyo hutumika zaidi kwenye kubeba mamizigo mazito.
 
Niliwahi pewa hii story.

Zamani miaka kabla ya Yesu, watu ambao hawakuwa na silaha kama mapanga au mikuki walikuwa wanachukua mifupa ya punda, wanaichonga fresh wanaitumia kama silaha.

Mifupa na misuli ya punda ni migumu sana kwasababu kila siku anafanyishwa kazi. Hivi vigari vidogo havina mabati ya kuitawanya ile mifupa.

Ukigonga punda ni kama umegonga ukuta.
Kama Samson alivyopigana na jeshi la watu 1000 kwa taya ya punda. Binadanu tungekuwa kama punda pengine idadi ya vifo vitokanavyo na ajali ingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Maeneo ya mtera muhimu kuwa makini nishamkuta punda katikati ya road night kaganda wala hastuki ikabidi nimkwepe tu!
Mbweni wamejaa sana wenyeji wanawatumiaga kuvuta mikokoteni yenye mizigo inayoshushwa kwenye kile kibandari chao kutoka visiwani. Sema bahati nzuri wanakuwaga na watu wanawachunga ila vinginevyo tungeumia wengi maana kupishana nao barabarani ni kawaida hivyo inabidi uwe mpole.
 
Back
Top Bottom