Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Ushaendesha haya:Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Toyota ni Toyota. Ni sawa na VW ni VW hata iwe Polo ina VW feel. Nashukuru Mungu nishaendesha Toyota, Nissan,Mitsubishi to their limits kwahio najua ninachoongea. On the other hand nimeendesha BMW,MB,VW,Audi,RR,Volvo,Citroen,Pijo na nyingine kwenye kundi hili nimeishi nazo. Kuna tofauti ndugu yangu from handling to braking. Tafuta mtu usafiri nae mwenye hizo gari utanielewa otherwise huwezi kuelewa. Na angalia usije kurudi safari ukaagiza ya kwako.
1. Vauxhall Insignia?
2. Saab 9-3 na 9-5?