Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Ni nadra sana kupata msaada ukiwa highway kutoka kwa madereva wa magari madogo , Hawa jamaa wa magari makubwa(malori) huwa na msaada sana aisee....big up kwao.
 
Akiwa naye hatofika hiyo akijitahidi sana ataenda 100 au kama sio peke yake basi awe na wana hapo sawa huku nyuma wana wanapiga vitu vyao utasikia kamua kamua baba bado sijaonaaaaaa
Kuna siku nimepanda IT pale Mbezi inaenda Zambia ilikuwa X5, dreva yupo na jamaa yake dogodogo inaonekana huwa wanaenda Pamoja na kurudi Pamoja. Baada ya kutoka TRA misugu...jamaa alikuwa anaikamua gari mpaka Mimi mzoefu wa kusafiri night nkaanza kuwaza mwanangu ataishije nikipata ajali daaah. Ilikuwa dogo akimpa tu signal ya "clear" dreva anazitafuta 160+. Kona za Iyovi nadhani tulikuwa kwenye 140+. Tumetoka saa mbili usiku pale TRA, sita tupo Iringa hapo wanawahi saa kumi na moja wawe Tunduma Kuna jamaa anaisubiri gari aende nayo kanisani. Nilishuka Puma Iringa natetemeka miguu.
 
Subaru inahama mzee, respect to the fucn 2.0L boxer! Jana nilikuwa na officer mmoja wa kitengo cha wakuda aisee ile gari inavyoendeshwa ni zaidi ya schumaker😅😅😅 ndipo nilielewa kwanini wanaisifiaga subaru!
 
Basi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirika
Gari ni dereva wala sio ishu ya Amarok ama sijui TDi! Huyo mwenye Amarok ukiwa jasiri unamsomesha namba tu chap😅 hela ya kujazia tank iwepo tu maana tutachakazana kwa 7rpm kila dakika hamna rangi ataacha kuiona huyo bwege! Plus matumizi ya O/D on and off atafanywa mboga tu mbona
 
Kweli kabisa.
Yeah mkuu juzi tu nilikua natafta spare za Surf new Model hasa shocks na coilovers mzigo ulikuwa unagonga 850K za mbele tu😅 hapo bado coils zake uki add inagusa 1.3M! Ukijumlisha na za Nyuma ngoma ilifika 2.4M.

Ila at the same time zipo chakachuaji from Thailand za 260K na coil za 400K! Toyota ni expensive ukisaka genuine parts. Tunajificha kwenye fake parts ndio maana tunaona Toyota ni rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…