Hahahahaha gari ulikuwa unaendeshaje hadi unamgonga kiumbe wa mungu yani 😂😂😂 au uliingia highway ukiwa learnerDuuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.
😂😂😂😂😂😂Figo na moyo.View attachment 2091004
With time utaiweza tu kutumia.Dooh tunateseka kweli watumiaji wa app. Wengine browser huwa hatutumii.
🤣🤣🤣🤣
Kumbe Ulaya nako huwa wanapata stress za magari😁Mkuu hi ulaya huko 😁😁
🤣🤣🤣Maeneo ya mtera muhimu kuwa makini nishamkuta punda katikati ya road night kaganda wala hastuki ikabidi nimkwepe tu!
Mwaka huu utatumia tu browser au chrome upende usipende😂😂😂Duuh haifunguki! Infiniti gani?
😂😂😂😂😂😂Na punda ukimgonga na kigari kidogo, anajipukuta vumbi anaendelea kula majani, wewe unaenda garage..
Sijasijia chochote, ila kwa kukisia itakuwa CVTWatu wanaigana sana bongo.
Povu linamtoka
[emoji1787][emoji1787] Karma mimi ni mpole mno barabarani wallahiNami ndiyo nilikuwa najisemea hapa kuwa hao wasela itakuwa hawajakutana na mtu kama wewe au ISO M.CodD. Hizo pombe zote zitayeyuka kichwani.
😎[emoji1787][emoji1787] Karma mimi ni mpole mno barabarani wallahi
Kasoro kwenye ligi. Hapo wana watanisamehe, I have a reputation to maintain.
sehemu ambayo haina stress ni mbinguni tuKumbe Ulaya nako huwa wanapata stress za magari😁
huwa wanafurahi sanaaa wanavyo kichafuaHahahah subie inachakaza road😅
Unaweza ukatoboa sample ukifanya masiharaBaada ya Wami! Wanatakiwa waje wajazie tena kifusi iwe tuta au wakwangue kusiwe na tuta ila kama kawaida yetu hamna anaejali. Hapo ili uwe salama kila tairi likanyage hayo mabaki.
Na injinia wa serikali wa eneo husika yupo...