Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hawa watu wa hivi vyombo, hovyo kabisaa..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini tena mkuu? Kuna mmoja kalivamia mwendokasi bado kidogo ageuke nyama chomaHawa watu wa hivi vyombo, hovyo kabisaa..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 2120143
Mdau hapo juu alicheka kidogo mkasa ulionikuta na boda boda..[emoji38][emoji38]..Nini tena mkuu? Kuna mmoja kalivamia mwendokasi bado kidogo ageuke nyama choma
Aisee umenikumbisha kitu...kuna dogo kanipiga pasi na baiskeli hata hakugeuka nyuma si unajua mtoto akijua ana makosa! Kaniachia minor scratch!Mdau hapo juu alicheka kidogo mkasa ulionikuta na boda boda..[emoji38][emoji38]..
Nikaona nimuwekee na picha kabisa ya chombo.[emoji119][emoji119].
[emoji119][emoji119][emoji38][emoji38]pole mkuu...huku barabarani ukifika nyumbani salama unashukuru MunguAisee umenikumbisha kitu...kuna dogo kanipiga pasi na baiskeli hata hakugeuka nyuma si unajua mtoto akijua ana makosa! Kaniachia minor scratch!
Yule mama mie nilimpa mkononi, 40k cash na chenji hakua nayo nlimuachia pia,Kani siku hizi bado watu wanalipia mkononi? Yaani wanampa hela trafki? Hebu fafanua hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wa hivi vyombo, hovyo kabisaa..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 2120143
Yani tumeanzia Chalinze pale nimemtanguliza nisome label nyuma ndio nikapost, kafurukuta wee nikampita wakati anaovertake noah from low speed, akanifuata nyuma ila nikaanza kuona maji yanmfikia shingoni taratibu. Kufika mizani mtu haonekani kwenye side mirror wala browsing history.Ligi imeisha dakika ya 15?
Kuna watu wana limit zao. Unafikiri kila anaweza kukomaa 180-200kph? Gari inaweza kuwa capable ila dereva havuki 160kph. 525i inavuka 200kph kirahisi sana.Yani tumeanzia Chalinze pale nimemtanguliza nisome label nyuma ndio nikapost, kafurukuta wee nikampita wakati anaovertake noah from low speed, akanifuata nyuma ila nikaanza kuona maji yanmfikia shingoni taratibu. Kufika mizani mtu haonekani kwenye side mirror wala browsing history.
Ligi za kibongo is all about Acceleration na sio top speed, na kwenye acceleration ile gari bado sana, imagine nimempita akiwa anamalizia overtake huku anavuta wese!
Mwamba alikuwa anatembea, kipindi niko nyuma yake niliappreciate kwamba anatembea. Ubao wangu ulikuwa unasoma 160 minimum. Tatizo hakuwa na stretch ya kutosha kufika hizo speed . Akishaovertake anaanza kujikongoja ku build up.Kuna watu wana limit zao. Unafikiri kila anaweza kukomaa 180-200kph? Gari inaweza kuwa capable ila dereva havuki 160kph. 525i inavuka 200kph kirahisi sana.
Nitakutumia vijana na GTi wakunyooshe na 2.0Mwamba alikuwa anatembea, kipindi niko nyuma yake niliappreciate kwamba anatembea. Ubao wangu ulikuwa unasoma 160 minimum. Tatizo hakuwa na stretch ya kutosha kufika hizo speed . Akishaovertake anaanza kujikongoja ku build up.
Ingekuwa barabara ya Gairo - Dodoma angeninyoosha, ila kwa leo kaliwa
Hiyo kwa machine yako below 180 hana ujanaja mkuu.. ungekutana nan540i alafu dereva awe makini.. 😀😀😀😀 ndio pangenogaNna ligu na bmw 525i hapa
Nahisi kwa papo kwa papo.. angekutana na 540i, kwa hiyo Fuga na kwa udereva wake pap to pap kwa hiuo 525i chini ya 180kmh lazima anamtuliza vyedee tuKuna watu wana limit zao. Unafikiri kila anaweza kukomaa 180-200kph? Gari inaweza kuwa capable ila dereva havuki 160kph. 525i inavuka 200kph kirahisi sana.
😀😀😀😁😁 hapa atabaki anasema yuleeeNitakutumia vijana na GTi wakunyooshe na 2.0