Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wa hivi vyombo, hovyo kabisaa..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
FB_IMG_16360523586644712~2.jpg
 
Mdau hapo juu alicheka kidogo mkasa ulionikuta na boda boda..[emoji38][emoji38]..
Nikaona nimuwekee na picha kabisa ya chombo.[emoji119][emoji119].
Aisee umenikumbisha kitu...kuna dogo kanipiga pasi na baiskeli hata hakugeuka nyuma si unajua mtoto akijua ana makosa! Kaniachia minor scratch!
 
Ligi imeisha dakika ya 15?
Yani tumeanzia Chalinze pale nimemtanguliza nisome label nyuma ndio nikapost, kafurukuta wee nikampita wakati anaovertake noah from low speed, akanifuata nyuma ila nikaanza kuona maji yanmfikia shingoni taratibu. Kufika mizani mtu haonekani kwenye side mirror wala browsing history.

Ligi za kibongo is all about Acceleration na sio top speed, na kwenye acceleration ile gari bado sana, imagine nimempita akiwa anamalizia overtake huku anavuta wese!
 
Kuna watu wana limit zao. Unafikiri kila anaweza kukomaa 180-200kph? Gari inaweza kuwa capable ila dereva havuki 160kph. 525i inavuka 200kph kirahisi sana.
 
Mwamba alikuwa anatembea, kipindi niko nyuma yake niliappreciate kwamba anatembea. Ubao wangu ulikuwa unasoma 160 minimum. Tatizo hakuwa na stretch ya kutosha kufika hizo speed . Akishaovertake anaanza kujikongoja ku build up.

Ingekuwa barabara ya Gairo - Dodoma angeninyoosha, ila kwa leo kaliwa
 
Nitakutumia vijana na GTi wakunyooshe na 2.0
 
Kuna watu wana limit zao. Unafikiri kila anaweza kukomaa 180-200kph? Gari inaweza kuwa capable ila dereva havuki 160kph. 525i inavuka 200kph kirahisi sana.
Nahisi kwa papo kwa papo.. angekutana na 540i, kwa hiyo Fuga na kwa udereva wake pap to pap kwa hiuo 525i chini ya 180kmh lazima anamtuliza vyedee tu
 
Back
Top Bottom