Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Deeboyfrexh
Extrovert
RRONDO
ISO M.CodD
mtongwe
Offshore Seamen
JituMirabaMinne
Isanga family
Screenshot_20220216_222315.jpg

chuma hii hapa mwenye mawe yake
 
Wakuu, naona Mlimani city pale kwenye service road ya upande wa Kanisa la Kakobe wameifanya imekua One way, wameweka Sign ya No Entry pale na tayari naona wazee wa jezi nyeupe wanapiga watu vyeti ,nimepita hapo nimekuta watu wanahukumiwa.

Tuwe makini..
Tanroad hao wanaweka alama Ili Polisi wakapate pesa za kubrush viatu
 
Back
Top Bottom