Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Sasa si Bora mtu akaagize Kwa Dealer anakuwa safe kuliko hao wanaopandisha Bei kihuni.Bei ya hio chuma haizidi 500M sema wale machawa wameipandia ili wale faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si Bora mtu akaagize Kwa Dealer anakuwa safe kuliko hao wanaopandisha Bei kihuni.Bei ya hio chuma haizidi 500M sema wale machawa wameipandia ili wale faida
Yeah kwa biashara ya 500M huwezi fanya uchochoroniSasa si Bora mtu akaagize Kwa Dealer anakuwa safe kuliko hao wanaopandisha Bei kihuni.
Hakuna mtu mwenye akili timamu wa kutoa 600M kwa makanjanja wa instagram.Bei ya hio chuma haizidi 500M sema wale machawa wameipandia ili wale faida
Dada nasikia mmeagiziwa tayari hizo LC 300 😀😀😀[emoji3][emoji3]View attachment 2121576
Madalali wa Dar es Salaam makanjanja sana.. naogana dalali anae jielewa ni Njari ila wale wa mlimani city mmh! wanatia sana mashakaHakuna mtu mwenye akili timamu wa kutoa 600M kwa makanjanja wa instagram.
Lazima ataenda Toyota Tanzania akaweke order.
Yes wamejitahidi sana. Sijui watakuwa wanafanya bei gani.Aisee! Jamaa wanaweza Ku facelift?!! Kama Y62
Hatari [emoji1][emoji1]Hii ndio eksileta?!! [emoji23][emoji56][emoji56]
Khaa kina nani [emoji38][emoji38]Dada nasikia mmeagiziwa tayari hizo LC 300 [emoji3][emoji3][emoji3]
😁😁😁 nyie hapoKhaa kina nani [emoji38][emoji38]
Only VW
Nitaanza na brand yoyote mradi kuwe na best suvs! Kwa lamborghini nitaanza nayo endapo tu nitakutana na urus ila kama ni zile coupes hata sitahangaika na hiyo brand!
Kuna bima.Only VW
Duuuh Sasa hapo hasara ni kwa nani Kati ya muagizaji, muuzaji, transporter au insurer anawalipa wote?
Kwenye gari 4000 lazima kila brand na models za kutosha.Nitaanza na brand yoyote mradi kuwe na best suvs! Kwa lamborghini nitaanza nayo endapo tu nitakutana na urus ila kama ni zile coupes hata sitahangaika na hiyo brand!
Si mchezo.Kuna kampuni ya bima huko wanachanganyikiwa saa hizi!
Barabara kama hii unapewa unlimited speed.
Chagua gari utakayotumia na useme utatumia masaa mangapi Dar to Mwanza.View attachment 2123060
X5 M Competition, 5 Hrs. [emoji16][emoji16]Barabara kama hii unapewa unlimited speed.
Chagua gari utakayotumia na useme utatumia masaa mangapi Dar to Mwanza.View attachment 2123060