RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #15,261
Wakuu tupambane sana. Jioni at least mara tatu kwa wiki huwa nafanya jogging along Toure drive. Huku barabarani kuna watoto wa kihindi wanatoa carbon gari zao ni balaa. Kuna G55 mbili za 2021, cayenne GT, Infinity lile kama Y62 BMW M5 na RR ya 2019 hivi. Wanakimbizana hawa jamaa naishia kuvuta harufu ya coil tu