Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Asalaam wakuu wote wa road trip, few day's ago nimeendesha for first time Ile barabara ya Mzuzu to Kalonga(towards Tanzania border)na sijawahi kuendesha kwenye Pass kama Ile unapokaribia Kalonga ,view ya ziwa Nyasa ni Safi mno tuongee hapa walioendesha hapa kwenye pass hii, Our own Kitonga pass inasikitisha mno, ajali nyingi mno na tena za kizembe kabisa,Kitonga pass itobolewe
 
Naunga mkono hoja
 
Kuna tender flani hivi inaihusu Kitonga, sijui wanataka kuifanyaje
 
Barabara kama hii unapewa unlimited speed.

Chagua gari utakayotumia na useme utatumia masaa mangapi Dar to Mwanza.View attachment 2123060
😃😃😃 hapa mzee naenda na Ferrari F12 Berlineta

Power: 730 hp at 8,250 RPM.
Torque: 509 lb-ft at 6,000 RPM.
Top Speed: 211 mph.
0-62 mph: 3.1 seconds.

Nitatumia masaa 4.. mwendo wangu utakuwa ni 250-300 😎😎😎

images.jpeg
 
[emoji2][emoji2][emoji2] hapa mzee naenda na Ferrari F12 Berlineta

Power: 730 hp at 8,250 RPM.
Torque: 509 lb-ft at 6,000 RPM.
Top Speed: 211 mph.
0-62 mph: 3.1 seconds.

Nitatumia masaa 4.. mwendo wangu utakuwa ni 250-300 [emoji41][emoji41][emoji41]

View attachment 2123941
Hakikisha kila baada ya km 200 unajaza mafuta.
 
Back
Top Bottom