Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sana tu Zim wapo kibao sana, hata ginmimbi kuna kipindi alikuwa anakataa utajiri wake kuhusishwa na FX.. wadau walikuwa kama wamekalili yoyote mwenye mawe wanajiongeza ninFX.... SA wapo wanyama wengi sana wa FX na wana pesa chafuu sana wabongo wengi huwa wanakimbia wanaenda zao kuishi dubai au SA.. kidogo tuna ukilitimba wa kufatana fatana.. watu kujua source ya pesa.
Ginimbi si ilikuwa inajulikana kuwa utajiri wake ulitokana na mafuta? Forex ni tamu sana ukiijulia na ukiwa na capital ndefu!
 
Na T wengi wa ule ukanda wana make sana kupitiani Nasdaq100 au SXP500 nahisi wana key zao.. hizi kwa wiki kutengeza $100,000 kama mtu ana capital ni kunusaaa. unakuta kijana ana tengeza profit mfululizo [emoji41][emoji2][emoji2][emoji2] acha tuambane na Kashaija72 na sie tushushe Rollys Royce sio SA tu.. ila lazima tuhame nchi.. bank zetu na taasisi zetu ukuda mwingi
Hahaa bongo kufreeze accounts lazima [emoji38][emoji38]
 
image-2022-02-21-00:28:44-192.jpg
 
Na T wengi wa ule ukanda wana make sana kupitiani Nasdaq100 au SXP500 nahisi wana key zao.. hizi kwa wiki kutengeza $100,000 kama mtu ana capital ni kunusaaa. unakuta kijana ana tengeza profit mfululizo [emoji41][emoji2][emoji2][emoji2] acha tuambane na Kashaija72 na sie tushushe Rollys Royce sio SA tu.. ila lazima tuhame nchi.. bank zetu na taasisi zetu ukuda mwingi
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
 
[emoji2][emoji2] mafuta lakini pia walikuwa wana hisi na FX anapiga pia.. kwa mtu.. dada njoo nikupe mbinu [emoji41][emoji41][emoji41] uwe kama mu SA.
Hehe na wengine wakawa wanadai jamaa freemason sijui anafuga joka kubwa ndani linatema pesa waafrica bana! Sawa nitakuja unipe mbinu mdogo wangu!
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Walitakaga hadi kupiga ban cryptocurrency kutumika bongo! Hawataki watu wengi watajirike nchi itashindwa kutawalika!
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Sio hadi upate faida kubwa, tatizo linaanzia nahisi kwenye policy zetu kwenye taasisi za kipesa na sheria ambazo tumejiwekew. around 2016, 2017, na 2018 nilikuwa napata sana shida na CRDB hadi nikahamaga hiyo bank.. Ukifatilia wao mashaka yao yanaangukia kwenye policy na sheria zao.. ila taabu unapata wewe
 
Kazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom