Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umeongea kitu sensible sana.

Vijana mkiwa na hela na elimu nzuri ni ngumu kutawalika.

Ndo maana mnawekewa vikwazo kutoboa.

Mtaishia kuwa bodabodaz tu.
Yeah they are doing this deliberately! Sababu wanawanyima vijana ajira vijana wakilalamika wanaambiwa wajiajiri, basi sawa vijana wameona siyo kesi acha wajiajiri, bado tena wanabambikiwa kodi na tozo za kukomoa kazi kweli kweli!
 
Haya mambo ya financial markets ni allien subject kwa wengi sana kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida.

Wahindi na foreigners wengi wamekuwa wanafanya tangu kabla kina jeff hawajaanza.

Ila system imeshakuwa seggregatory to the extent ukianza kuleta mahela yako lazima upate kashkash nyingi sana.

System ishawekwa mweusi hutakiwi kuwa mali za kutisha kuliko muhindi.
Uzuri uwezo wa kuzileta na kuzificha tunao, hamna shida.
 
...wanasema ni zile betri ndiyo zimesababisha moto..View attachment 2124938
Wamiliki wa meli waliplan ivutwe na tug boat kwenye update za mitandaoni.

Kwenye Ship salvage Kuna makubalia ya kuingia mkataba ndio ufanye uokozi au kuokoa Kisha utalipwa kadri ya Mali ulizookoa. Hapo wazungu wenye kampuni za Salvage wamekuwa wagumu kutia miguu ingawa mali ni za thamani Kubwa.
 
😃😃😃 unahisi kwanini wamekuwa wagumu kutimba
 
Samaki anakula chambo wa gharama 😂😂😂
😃😃😃😃 ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
 
😃😃😃 unahisi kwanini wamekuwa wagumu kutimba
Kwenye Ship Salvage ambayo sio Contractual waokoaji wanaweza wakataka fidia kuanzia asilimia 10 mpaka 50 sawa na thamani ya Mzigo utakaopona. Wengi hutaka 50% kama alitumia vifaa vyake na watu Kisha akapata uharibifu wa Mali kama boti za uzimaji moto Ili Meli ifike salama bandari.

Hapo wameona Kwa thamani ya Mzigo au nature ya wamiliki wakija kuleta madai ya kupewa asilimia kuanzia 20 mpaka 50 itakuwa ngumu Bora wakae pembeni.

Pia wameona gari zote zilizokuwemo mule lazima msafirishaji alikatia bima(Freight Insurance) hivyo wenye Magari kampuni za bima watahusika kulipa gari zilizoharibika Kwa kipengele Cha Marine Average Law ambapo gari zilizofika salama waliowakatia bima watasaidiana kulipia hasara ya gari zilizoharibika sawa Sawa.

Na mwenye meli akaagiza kikombe Cha Cappuccino akiwa na uhakika meli yake ina ya Hull & Machinery ambapo hapo ana kila sababu ya kulipwa maana moto ni janga ambalo bima Ina cover ( Marine Perils).

Wazee wa ship Salvage kila wakipiga simu na kutuma email hazijibiwi kama Raisi wa Ukraine
 
😃😃😃😃😃 Asante sana kwa darasa.. hapo company za bima ndipo napo zinapataka utamu sasa
 
😃😃😃😃 ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
Tatizo mnaingia mmetanua mikono mabega juu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom