Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
Average ya 500k kwa siku!!.
Anakula Nini samaki Huyu au analala Hyatt kwenye presidential suit?
 
Chuma kimetua Moshi...Dar saa 0430, Moshi 1030
IMG_20220226_105246_3.jpg
 
Back
Top Bottom