Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Average ya 500k kwa siku!!.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
Anakula Nini samaki Huyu au analala Hyatt kwenye presidential suit?