Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Daah sema mchawi barabara tu, kwenye long stretches wanapita nabaki nawatazama na la kufanya sina.Nitakutumia vijana na GTi wakunyooshe na 2.0
Hio njia mbabe wa 0-180kph lazima ashindeDaah sema mchawi barabara tu, kwenye long stretches wanapita nabaki nawatazama na la kufanya sina.
Ila road ya Moro - Dar aisee watakula tu vumbi
Nimetumia masaa mawili na nusu kutoka Msamvu mpaka Tabata leo
Honestly nimeiona hii mashine road. Lakini kwangu Mimi LC200 VXR looks better.Deeboyfrexh
Extrovert
RRONDO
ISO M.CodD
mtongwe
Offshore Seamen
JituMirabaMinne
Isanga family View attachment 2121466
chuma hii hapa mwenye mawe yake
Ya Caesar ngoja tumuachie Caesar.Deeboyfrexh
Extrovert
RRONDO
ISO M.CodD
mtongwe
Offshore Seamen
JituMirabaMinne
Isanga family View attachment 2121466
chuma hii hapa mwenye mawe yake
Tanroad hao wanaweka alama Ili Polisi wakapate pesa za kubrush viatuWakuu, naona Mlimani city pale kwenye service road ya upande wa Kanisa la Kakobe wameifanya imekua One way, wameweka Sign ya No Entry pale na tayari naona wazee wa jezi nyeupe wanapiga watu vyeti ,nimepita hapo nimekuta watu wanahukumiwa.
Tuwe makini..
[emoji3][emoji3]Deeboyfrexh
Extrovert
RRONDO
ISO M.CodD
mtongwe
Offshore Seamen
JituMirabaMinne
Isanga family View attachment 2121466
chuma hii hapa mwenye mawe yake
Chuma yenyewe kabisa dah😅 kwa hii bei labda serikali iagize kwanza😂😂😂Deeboyfrexh
Extrovert
RRONDO
ISO M.CodD
mtongwe
Offshore Seamen
JituMirabaMinne
Isanga family View attachment 2121466
chuma hii hapa mwenye mawe yake
Wahuni washa hack mchongo 😂😂😂 sema halitonoga! Kitu kipya kipya tu[emoji3][emoji3]View attachment 2121576
Mzee naona upo makini sana na xmas lights au una kale kamtambo ka kufutia vipengele nyumbani😅😅😅Extrovert nakusalimia najua taswira hii haikupi raha ungependa kuona mataa taa kama mti wa Xmas 😂😂
View attachment 2117057
Aisee! Jamaa wanaweza Ku facelift?!! Kama Y62[emoji3][emoji3]View attachment 2121576
Bei ya hio chuma haizidi 500M sema wale machawa wameipandia ili wale faidaHawa wamezidi, kuna watu wameagiza Dubai I guess ni 400-500m hivi
Tafta kale kenye DSG Transmission kakuchangamshe kidogo😅Ha ha ha ni kufuata masharti tu...I guess nayo ilikuwa kwenye Hali nzuri.
Dah sikujua hilo mkuu wacha niwe makini. Kwahio toka Round about huwezi enda towards Mwenge TRA? Wame block sahizi?Tanroad hao wanaweka alama Ili Polisi wakapate pesa za kubrush viatu