Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ginimbi si ilikuwa inajulikana kuwa utajiri wake ulitokana na mafuta? Forex ni tamu sana ukiijulia na ukiwa na capital ndefu!
 
Hahaa bongo kufreeze accounts lazima [emoji38][emoji38]
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
 
[emoji2][emoji2] mafuta lakini pia walikuwa wana hisi na FX anapiga pia.. kwa mtu.. dada njoo nikupe mbinu [emoji41][emoji41][emoji41] uwe kama mu SA.
Hehe na wengine wakawa wanadai jamaa freemason sijui anafuga joka kubwa ndani linatema pesa waafrica bana! Sawa nitakuja unipe mbinu mdogo wangu!
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Walitakaga hadi kupiga ban cryptocurrency kutumika bongo! Hawataki watu wengi watajirike nchi itashindwa kutawalika!
 
..ina maana bongo ukitrade fx, ukapata faida kubwa, sirikali ya thithiemu inakufuatilia..!?[emoji19]

Kama ndivyo, mbona hii mchi ni ya ajabu sana.....vijana wanagraduate, ajira hakuna...wakijiajiri huko kwenye mitandao, nongwa..
Sio hadi upate faida kubwa, tatizo linaanzia nahisi kwenye policy zetu kwenye taasisi za kipesa na sheria ambazo tumejiwekew. around 2016, 2017, na 2018 nilikuwa napata sana shida na CRDB hadi nikahamaga hiyo bank.. Ukifatilia wao mashaka yao yanaangukia kwenye policy na sheria zao.. ila taabu unapata wewe
 
Kazi kweli kweli...Fx ni biashara nzuri sana ya kuwakwamua vijana endapo nchi ingeweka taratibu nzuri
RRONDO utatusamehe, tumegeuza uzi kwenda kwenye FX...naona mwezi huu trip si nyingi...
Tusamehe tuupeleke uzi kulinga na kamjadala tu kalikoshika kasi[emoji112][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…