Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Average ya 500k kwa siku!!.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilikuwa fish ya bahari ya CRDB.. cheee nilisema sina shida na samaki hii ndani ya siku nne inakula chomba ya 2 million, nikaona hii imekubaliana na samaki wengine waje kufirisi mvuvi na mtaji wake.. nikalala mbele nikaacha ndoana na kamba
Unawajua samaki wa dar tena CRDB waliochangamka hiyo ndogo nilionewa.. huruma.. ilikuwa nipasuliwe zaidi ya hapoAverage ya 500k kwa siku!!.
Anakula Nini samaki Huyu au analala Hyatt kwenye presidential suit?
Sema ndani ya Ushirika stadiumHasa pale
Inapoanzia na kuishia[emoji1787][emoji1787]
Kuna kambale
Maji ya kisigino
Duuuh. Hata hivyo, Pesa yafaa Nini kama haikupi kitu roho inafurahia?Unawajua samaki wa dar tena CRDB waliochangamka hiyo ndogo nilionewa.. huruma.. ilikuwa nipasuliwe zaidi ya hapo
Russia wanasemajeDuuuh. Hata hivyo, Pesa yafaa Nini kama haikupi kitu roho inafurahia?
safi sanaChuma kimetua Moshi...Dar saa 0430, Moshi 1030
View attachment 2131617
Hili li crown royal saloon la 2004Chuma kimetua Moshi...Dar saa 0430, Moshi 1030
View attachment 2131617
Anakula Chambo wa kizungu (Artificial Baits) sio wale wa kula chambo asilia (Natural Baits).Average ya 500k kwa siku!!.
Anakula Nini samaki Huyu au analala Hyatt kwenye presidential suit?
Duuuh. Wanasulubu kwerikweriHivyo inahusu vizinga pia
Tumerudi salama salimini Jana usiku. Njia ya kaskazini nzuri sana sio Ile vurugu ya Dar-DomChuma kimetua Moshi...Dar saa 0430, Moshi 1030
View attachment 2131617
Mungu mwema[emoji120] karibuni tena mjini!Tumerudi salama salimini Jana usiku. Njia ya kaskazini nzuri sana sio Ile vurugu ya Dar-Dom
Safi. Ila kwa kweli njia ya Dar-Dom kuna vurugu sana. Kwanza magari ya serikali, pili mabasi na malori mengi, na tatu magari binafsi yanayopimana ubavu na kuvimbianaTumerudi salama salimini Jana usiku. Njia ya kaskazini nzuri sana sio Ile vurugu ya Dar-Dom
WeeeTumerudi salama salimini Jana usiku. Njia ya kaskazini nzuri sana sio Ile vurugu ya Dar-Dom
Wacha nimalizie kuota 💃You wish 😂😂
Nimependa alivyotamka Subaruu 🥰