ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Bila shaka. Na watu walikuwa wanapiga stori kwenye gari na kuongea na simu as if niko 100 kumbe niko 180.Kupata average 110kph kuna sehemu inabidi ufanye hivi....
View attachment 2135131
Yesu! 70 hii hii? Kwa safari ya kilomita 600+?Mhhh sawa mkuu, mi mwisho kabisa speed 70
Hahaha umenikumbusha hiiSasa unaingia mkoa wa Mara!!
Hio siwezi kushikilia. Huwa nagusa nikitaka kumpita mtu mbishi, matairi yenyewe ya kichina!Bila shaka. Na watu walikuwa wanapiga stori kwenye gari na kuongea na simu as if niko 100 kumbe niko 180.
Abiria mmoja alikuwa anatapika njia nzima. Next time nikipakia abiria nawauliza kwanza kama wako stable maana ilikuwa patashika.
Nenda hapo Msata kisha ujue utupe mrejesho kama hujavuka 70. Unaloliongea haliwezekani nakuambiaHumu humu mjini, hata siku ikitokea nikaenda nje ya mji speed itakua hii hii. Na ndio maana nikitaka kusafiri hua naulizia bus lenye mwendo mdogo kuliko yote
Mimi nikishaifikia nalegeza mguu kidogo rpm ishuke mpaka 4000 ambayo ndio ina maintain 180kmph kwenye flat road.Hio siwezi kushikilia. Huwa nagusa nikitaka kumpita mtu mbishi, matairi yenyewe ya kichina!
Kurudi muda mwingi nimetembea 120-130kph very relaxing speed.Mimi nikishaifikia nalegeza mguu kidogo rpm ishuke mpaka 4000 ambayo ndio ina maintain 180kmph kwenye flat road.
Hilo la matairi, ndio maana nasemaga bora kuna limiter tu, 180 inatosha kibongo bongo kwa matairi tunayouziwa nchini.
Nimetumia tairi one year, imeshaisha. Natakiwa ninunue viatu vipya nikirudi hii trip.
NilijuaHeri ningemalizia hizi km200 jana nikafika Musoma. Kiherehere changu kusafiri asubuhi nimeliwa fine mbili back to back zimepishana nusu saa.
Shikamooni wakurya, mmenikaribisha vilivyo kanda maalum
View attachment 2135114
Lexus LX570, luxury version ya Land Cruiser LC200 almaarufu V8Hii ni range rover?
Na consumption nzuri. Kutoka Moro mpaka Musoma nimeenda 9.5 kmpl, nilikuwa naishi kwenye 130 na 140, mara moja moja akitaka mtu kuleta dharau ndo nilikuwa namaliza kisahani.Kurudi muda mwingi nimetembea 120-130kph very relaxing speed.
Nimeliwa somewhere vijiji kama vitano baada ya Old Maswa, jamaa hakuwa na karatasi akaniambia nitalipa mbele. Nilikuwa nachill na 65 sema ndio hivyo.Nilijua
Hutoboi bila cheti[emoji1787]
Pale mkula kuna down kuelekea lamadi
Wana kiherehere sana wale jamaa wa za ku brush viatu
Pale manyamanyama
Na unapoingia makutano[emoji1787]
Ukiendesha 70 unachoka unasinzia unavagaa kicheche unakufa.Labda ila nilivyo mwoga sidhani sana, napenda kuishi mkuu
Jana kuna Jamaa wa lori kaniokoa kula cheti. Maeneo ya Mwanga kuna ka lami kapya Jana kuna sehemu walitega. Bila jamaa wa Lori kunishtua wangenipa cheti maana nilinogewa.Nilijua
Hutoboi bila cheti[emoji1787]
Pale mkula kuna down kuelekea lamadi
Wana kiherehere sana wale jamaa wa za ku brush viatu
Pale manyamanyama
Na unapoingia makutano[emoji1787]
Sehemu hizo ndio mnatuchora na vipanya vyetu tunakimbia mnatukuta mbele tunapewa hukumu!Nilijua
Hutoboi bila cheti[emoji1787]
Pale mkula kuna down kuelekea lamadi
Wana kiherehere sana wale jamaa wa za ku brush viatu
Pale manyamanyama
Na unapoingia makutano[emoji1787]
Lembeni paleJana kuna Jamaa wa lori kaniokoa kula cheti. Maeneo ya Mwanga kuna ka lami kapya Jana kuna sehemu walitega. Bila jamaa wa Lori kunishtua wangenipa cheti maana nilinogewa.
Sio ndio hapo sasa[emoji1787][emoji1787]Sehemu hizo ndio mnatuchora na vipanya vyetu tunakimbia mnatukuta mbele tunapewa hukumu!
Kutoka old maswa..Nimeliwa somewhere vijiji kama vitano baada ya Old Maswa, jamaa hakuwa na karatasi akaniambia nitalipa mbele. Nilikuwa nachill na 65 sema ndio hivyo.
Huku nikiendelea kutafakari na kusali labda mashine imemgomea, pale Serengeti one stop kwa mbele ni Eneo la Mbuga aisee. Jamaa akanivuta akanitaarufu nimevuka spidi yao ya mbugani. Nikamuambia nimetoka kuandikiwa sahizi niangalizie. Kaniprintia ya mwenzie afu kaongezea na yake hapo, kanipa na pole [emoji1787][emoji1787]